Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Ona ushahidi huu:-

KWANZA,
Magufuli alianza kuhubiri sera ya "UMOJA NI USHINDI" na "HAPA NI KAZI TU" ghafla alipoona hailipi sasa amegeukia ya Lowassa (UKAWA) ya "MABADILIKOO"

PILI,
Aliwaanisha watanzania kuwa kamwe hatatumia usafiri wa anga ili aweze kupita na kukutana nao kijiji kwa kijiji. Alipoona Kamanda Lowassa anatumia anga na nchi kavu, naye ghafla amegeukia chopa.

TATU,
CCM ilinunua na kuzindua fulana maalum
(i.e vazi maalum la kampeni), Alipoona fasheni ya shati za Kamanda Lowassa, na yeye sasa kageukia huko.

NNE,
Alishauriwa kuwa kila mkutano atumie muda kadhaa kumshambulia Lowassa , Sumaye na UKAWA. Lakini kwa kuona Lowassa ni mtulivu, hapanic, ahubiri mtu ila sera, nayeye akahama kiasi kwamba wenzake ndani ya chama wanaanza kutoridhika.

All in all,
MABADILIKO YANAWEZA KUTOKA KOKOTE, LAKINI MABADILIKO YA KWELI YATATOKA NJE YA CCM.
Mkuu ulitaka kukosea hapo kwe nyekundu, ila ukarudi kwe line so haina shida mkuu
 
Kweli umbumbumbu haswaaaaaa. Mwenyekiti ni Rais na Prime Minister anaweza kuchair kama mwenyekiri hayupo. Unapotoka povu kusema juu ya nyumba za serikali na hasa kama kuna maswali muulize Sumaye ndo alikuwa waziri mkuu na ndiye aliyesimamia zoezi lote la uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa waziri mkuu. Kuwa mtu mzima.
Nikukumbushe kama labda umesahau...huwa PM presides over the cabinet meetings only in the absence of the president and the vice president.So you want to tell us that wakati cabinet inapitisha suala la uuzwaji wa hizo nyumba rais na makamu wake hawakuwepo?..
Pili,unataka kutuambia msimamizi wa uuzwaji huo hakuwa waziri mhusika bali alikuwa waziri mkuu?..kwa maana hiyo tuseme msimamizi wa uuzwaji huo alikuwa rais?...so kuna umuhimu gani wa kuwa na mawaziri?
Sasa kwanini nimuulize Sumaye na sio mhusika wa wizara yenyewe(Magufuli)...kwa hiyo barabara zikijengwa vizuri kwa viwango tumsifie waziri wa ujenzi au waziri mkuu?....kwahiyo yakinunuliwa mabehewa mabovu tumuulize Mwakyembe au Pinda?
Basi suala la uuzwaji wa nyumba tumuulize mkapa maana yeye ndiye aliyeamua mwenyewe....sumaye,magufuli na mawaziri wengine wa wakati huo hawakukubaliana na hilo suala!
 
Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida. Aidha katika kampeni zake ameahidi kutoa ruzuku kwa wakulima, kuanzisha vikundi mbalimbali ambavyo vitapata mikopo yebye riba nafuu.
 
Raisi gani anaandamana na wang'oa meno ya tembo kina KINANA. Wapiga dili sasa basi. Huyo ni wako, wa kwetu ni LOWASA tunamtaka hivyohivyo alivyo. LOWASA OYEEEEEEEEEEE!
 
Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida. Aidha katika kampeni zake ameahidi kutoa ruzuku kwa wakulima, kuanzisha vikundi mbalimbali ambavyo vitapata mikopo yebye riba nafuu.

Huyo raisi Wa Rehoboth

Anafaa kuwa raisi Wa chimwaga
 
'Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida"
 
Magufuli azidi kusiditiza kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uzalishaji mali kwa mwanainchi wa kawaida. Aidha katika kampeni zake ameahidi kutoa ruzuku kwa wakulima, kuanzisha vikundi mbalimbali ambavyo vitapata mikopo yebye riba nafuu.

Hivi kweli wewe ni binadamu mwenye uchungu na nchi yake..kabisaaaa..ukiambiwa kuwa ni kibaraka mjinga anayetaka kurudisha nyuma zaidi maendeleo ya nchi wakati nchi zingine zitasonga mbele..utasemaje au utakuja kuwaambiaje wajukuu zako baadae??..kuwa unakubali kwa moyo moja kuwaharibia maisha yao kwa kuukumbatia mfumo mbovu na dhalimu..huku watoto wao wakifaidi matunda ya nchi hii ya watanzania wote kama vile wao ni watoto wa kifalme!..upo tayari ukigundulika kama ulichangia suala hili nyeti la kitaifa upigwe mawe hadi ufe?..mwogope ndugu yangu!..usiuze nchi kwa vizawadi na hata vijisenti..hatma ya nchi hii ipo mikononi mwako! Shime tujitahidi tuwaondoe hawa wakoloni weusi!
 
Magufuli wewe ndiye rais wetu,Mungu azidi kukubariki katika majukumu yako,tunaimani kubwa na wewe.
 
Ni wazi Magufuli ndiye rais wa awamu ya tano.vigezo navihifadhi kwanza UKAWA waendelee kupiga ngumi upepo
 
Bora uwe rais mwenyewe kuliko huyo mbwa.
Kura zote ukawa
 
Back
Top Bottom