Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

uongo wa mchana kweupeeeeeeeeeeeee
 
Hata kikwete alituambia hivyo hivyo matokeo yake tunaambiwa "watajijua wenyewe, wataisoma namba CCM mbele kwa mbele" ....hivi watanzania hatujifunzi kutokana na makosa...nijuavyo unapotea njia wakati wa kwenda lakini sio wa kurudi.
 
Vijana wanojitambua wapo na Magufuli

Kweli kabisa mkuu vijana wanaojitambua wapo kwa magufuli, Duniani kote Mapinduzi na Mabadiliko ya kweli yaliletwa na "vichaa" waliojitoa kwa lolote lile yaani liwalo na liwe Edward Lowasa ni "kichaa", rejea watu kama Hugo Chavez, Che guevara, Fidel Castro, Aldof Hitler hawa wote walikuwa na vichaa.
 

Jamani vijana mbona tunadaganyika? kwasababu wakati jakaya anaingaia madarakani 2005 alikuwa na ahadi yake tamu kwa vijana,haikufanyika chochote je kwa huyu magufuli mambo yaakuwaje?
 
Baada ya kufahamu wanamuunga mkono lowassa.kwani chama chake ndio kinaingia madarakani ama..hatudanganyiki
Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.
 
Serikali ya ccm imejipangaje kwenye elimu na huko nyuma ilishindwaje mpaka vijana wakajazana mtaani bila ajira
 
Jamani vijana mbona tunadaganyika? kwasababu wakati jakaya anaingaia madarakani 2005 alikuwa na ahadi yake tamu kwa vijana,haikufanyika chochote je kwa huyu magufuli mambo yaakuwaje?
Magufuli ndiyo mpango mzima hilo fisadi tupa baharini kabisa.
 
Nan awe kwa magufuli.mm sio mjinga kiasi hicho yaan kila mwaka ahad ndio hizo hizo za uongo tu.kidogo angesema miaka hii mitano atashughulikia kero mbili tu,maji na umeme.ss mpaka ule mkutano wa kahama Jana keshatoa ahadi kama mia mbili.halaf mnakuja hapa mnaanza kumsifia ujinga.hv nyny wadudu mnalipwa na hawa fisiem au.kama hamumpend El kwa msiwachague ha chauma
 
Serikali ya ccm imejipangaje kwenye elimu na huko nyuma ilishindwaje mpaka vijana wakajazana mtaani bila ajira
Kwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?
 
.
Kachukue posho yako kwa kazi, maana viroba mnalipiwa sio mbaya
 
Kwa hiyo sisi vijana tuwe na maamuzi magumu kama tunaamini huyu magufuli ataleta mabadiliko tumchague afu baada ya miaka mitano kama hadithi yake ni ileile basi tuna piga chini........
Na pia kama lowasa ataleta mabadiliko tunaamini basi tumwke kama mambo ni yale yale basi twendeni ACT
 
Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.
Mimi ni kijana mtoto wa mkulima masikini wa Tanzania namuunga mkono FISADI wenye nguvu kuliko serikali yoyote iliyowahi kuundwa na ccm tangu uhuru.Serikali zote za ccm ziliishia kumpa uwaziri pamoja na ufisadi wake.So kwa kigezo hicho hicho why tusimkabidhi nchi.
 
Kweli mkuu, kama una chuki na lowassa ni bora uende kwa rungwe kuliko uchague ccm. Siku nitakayoenda kwenye sanduku la kura niichague ccm nahisi nitazimia hapohapo
 
Vijana tupo pamoja nawe

Ni Vijana Wasiojielewa. Lakini Wale Wanaojielewa Wapo UKAWA. Safari Hii Ni Mazuzutu Ndio Yatakayo ipigia Kura ccm.

Hakuna Mwenye Akili Zake Timamu Atakaeipa Kura ccm. Wameshindwa Kutuletea MAISHA BORA waliotuhaidi 2005 Magufuli Atakuja Kufanya Nini? Matapelitu Hawa.

Safari Hii Kimenuka NO kudanganywa. Tunaangalia Ustaarabu Mwingine. Ccm weka Makumbusho kule. UKAWA ndio Mpango Mzima.
 

Miaka yooote karibu 50 mlikua wapi??? Kwanini mnapenda kutudanganya nyie maccm???
 

Chizi ni wewe usiyewajua Fidel Castro wala Che Guevara yet unawalinganisha na mtu.


Hao hawakuwa wezi na mafisadi kama Lowassa, usilinganishe usivyovijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…