Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unaongelea vijana wengine kama nani? Sema manyumbu yote yako kwa lowassa.Amechelewa,,vijana wote wako kwa Lowasa
Mgombea urais kupitia CCM, Dr John Magufuli amezidi kusisitiza kutengeneza mazingira rafiki kwa vijana ili kuboresha vipato vyao na kubadilisha hali zao za maisha kwa ujumla. Serikali yake itajitahidi kuwa karibu na vijana na kutatua changamoto zao kwa wakati.
Kweli kabisa mkuu vijana wanaojitambua wapo kwa magufuli, Duniani kote Mapinduzi na Mabadiliko ya kweli yaliletwa na "vichaa" waliojitoa kwa lolote lile yaani liwalo na liwe Edward Lowasa ni "kichaa", rejea watu kama Hugo Chavez, Che guevara, Fidel Castro, Aldof Hitler hawa wote walikuwa na vichaa.
Baada ya kufahamu wanamuunga mkono lowassa.kwani chama chake ndio kinaingia madarakani ama..hatudanganyiki
Ccm imewatelekeza vijana,,,Hasira zao watazionyesha oct 25 kwa kumchagua Lowasa kwa kishindo
Na kwanini unapinga kuwa magufuli hawezi kuwajari vijana,kwani yeye vijana wote alikuwa amewaajiri barbarani kwanini kisiwe kipimo cha kuwajari vijana?Alikuwa rais au
Kwa cdm na lowasa wake wamewafanyia nini vijana? Si bora hata magufuli amekuwa akiwapa vijana ajira kwenye miradi ya barabara ? Na tunaweza kuamini kuwa atatukumbukaNi vizuri aendelee kutapatapa ili kudhirisha kuwa ni mfa maji. CCM leo ndio wanawakumbuka vijana? walikuwa wapi miaka yote?
Amechelewa,,vijana wote wako kwa Lowasa
Zumbukuku wewe
Acha uongo wewe, mbona mimi sipo upande wa Lowassa???? CHAGUA MAGUFULI, #HapaKaziTu
Leteni hiyo zee kwenye midahalo tumalize kazi mapema,Hatutaki neema ya magufuli tunataka ya lowassa ina baraka zaidi