Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Toa ujinga wako hapa,Mkapa hakusema hivyo bali alisema "WANAOJIDAI WAO NI CHAMA CHA UKOMBOZI KWAMBA NI WAPUMBAVU MALOFA"

Magufuli kumbe anataka nini au anamaanisha nini Magufuli for Change??
 
mods nawaomba sana msiondoe uzi huu


mh. Benjamin mkapa akiwa mwembe yanga alisema naomba kunukuu "wote wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa"

sitaki kuamini kama magufuli na timu yao ya kampeni wamesahau maneno haya maana kwa hivi sasa magufuli anahubiri kuleta mabadiliko na wamchague yeye maana yeye ni magufuli for change(m4c)
hivyo tusisite kumwita magufuli ni mpumbavu na lofa

nilikuwa na wakumbusha tu na karibu kwa mjadala



nadhani akili zako zina nyufa kabisa maana nukuu yako haijakaa kama mtu uliyesoma, pia umepotosha muktadha wa kaneno ya mkapa, tatu umevuruga kabisa dhana ya maana na neno la mkapa kwani alisema "ukombozi" sio "mabadiliko"

sasa kama uko uchi kavae nguo kwanza alafu uje tena, na kama unanuka kinywa nenda kapige mswaki
 
Magu kasahau alichosema bosi wake ndio maana karukia kauli mbiu ya mabadiliko asijue bosi alikataa
 
Kurudisha ccm in saw a nakutaka waltz wafe mahospitali ya serial I ambako hakuna Dawa NA madoctor waliogoma miaka 20 sasa
 
Wasamehewe bure si unakumbuka kile kipengele cha twaweza??

Mkuu sisi tutazidi kuwakumbusha kila mara, maana wana akili fupi zaidi ya kuku, waliyoyasema yote wamwahasahu na ndiyo maana hawawezi kutekeleza
 
Huu uzi sijui unafanya nini hapa. lofa ni lofa tu.

Kwanza Mkapa alisema kwamba wanaosema kulikomboa taifa/kuleta ukombozi wakati nchi iliishakombolewa na TANU ndio malofa. Na sio wanaohitaji mabadiliko...yaani transformation...
 
Wewe ni lofa kabisa hivi ni wapi ambapo chadema inamiliki maneno ya kingereza? hayo maneno ya kingereza hatimiliki yenu niipi?? acha ulofa hayo ni maneno ya kilofa na kipumbavu
 
Wewe ni lofa kabisa hivi ni wapi ambapo chadema inamiliki maneno ya kingereza? hayo maneno ya kingereza hatimiliki yenu niipi?? acha ulofa hayo ni maneno ya kilofa na kipumbavu

#Lofa & Pumbavu kama wanaccm wasahulifu kama kuku??
 
wakati Ngoyai akinadi sera kwa kauli zosizotiliwa shaka na watanzania wenye akili tamamu, mgombea wa ccm bwana Pombe amekuwa akitowa kauli za kutilia shaka weledi wake katika masuala ya siasa. Baadhi ya kauli zake no hizi:

1. Nitafufua viwanda
->alisema haya akijuwa fika kuwa huwezi kufufua viwanda katika nchi ambayo upatikanaji wa umeme wa uhakika.

2. Ninachukia wala-rushwa
->hapa alikuwa anahubiri chuki kwa unafiki uliokubuhu akisahau kuwa baba na mama wa rushwa Tanzania ni chama chake ccm. hafai kuwa rais huyu maana anahubiri chuki badala ya upendo. Angeeleweka zaidi angesema anachukia rushwa.

3. Wanajuwa nikiwa rais nitawafunga
->hapo bado ni mgombea tu anatishia kuwafunga waTZ jela. Tanzania haiko tayari kwa kuongozwa name rais dikteta.


Je unakumbuka kauli zingine tata za Pombe? Ziorodheshe:
 
Kama huna miambili piga mbizi

Msiniambie mchana ndio usiku hapana
 
Back
Top Bottom