Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Toa ujinga wako hapa,Mkapa hakusema hivyo bali alisema "WANAOJIDAI WAO NI CHAMA CHA UKOMBOZI KWAMBA NI WAPUMBAVU MALOFA"
Magufuli kumbe anataka nini au anamaanisha nini Magufuli for Change??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ujinga wako hapa,Mkapa hakusema hivyo bali alisema "WANAOJIDAI WAO NI CHAMA CHA UKOMBOZI KWAMBA NI WAPUMBAVU MALOFA"
mods nawaomba sana msiondoe uzi huu
mh. Benjamin mkapa akiwa mwembe yanga alisema naomba kunukuu "wote wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa"
sitaki kuamini kama magufuli na timu yao ya kampeni wamesahau maneno haya maana kwa hivi sasa magufuli anahubiri kuleta mabadiliko na wamchague yeye maana yeye ni magufuli for change(m4c)
hivyo tusisite kumwita magufuli ni mpumbavu na lofa
nilikuwa na wakumbusha tu na karibu kwa mjadala
Magu kasahau alichosema bosi wake ndio maana karukia kauli mbiu ya mabadiliko asijue bosi alikataa
Na kuna vijana wake hapa wanamtetea lofa wao kwa kutojua
Wasamehewe bure si unakumbuka kile kipengele cha twaweza??
Kurudisha ccm in saw a nakutaka waltz wafe mahospitali ya serial I ambako hakuna Dawa NA madoctor waliogoma miaka 20 sasa
Matusi ya nini,tukapige kura oct 25
Mkapa hakuwa mwembe yanga na hakutamka hayo maneno ya mabadiliko.
lofa ni lofa tu