Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Kwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?
NI

Ni kweli vijana wenye Elimu wako wengi sana mitaani na vynzo vya ajira wazee wanan'gang'ania wizara ya ajira inaangalia wapi? kwa kuzingatia sharia katika ajira mzee mwanajeshi anapostaafishwa,anapoegeshwa tena kuwa mkuu wa mkoa au wilaya kunamaanisha nini....
 
baada ya kufahamu wanamuunga mkono lowassa.kwani chama chake ndio kinaingia madarakani ama..hatudanganyiki

vijana tuna imani na #hapa kazi tu# si yule mlagha anayetumia biashara ya boda boda kama ndio ajila pekee ya vijana tunamuomba mungu ashindwe ili biashara ya kuvunjana miguu ikwishe... Chagua magufuli kwa vijana
 
Nawambia ukwel ndugu zangu tukiwaweka tena hawa jamaa naamin hata wenyewe watashangaa!wataamin kwel cc ni misukule yao.na wakiingia hakuna mbwa yeyote kulalamika tena tuwaache wafanye watakavyo wauze hata bahar cc ni kupiga kimya tu.mtu wa Kenya au Rwanda akikuuliza unamuambia Ndugu hv ndivo watanzania tulivyozaliwa hatubadilik.
 
Vijana tupo Magufuli kura yangu umepata nani ampe fisadi papa urais.Magufuli oyeeeeeeeeee kama hupendi kunywa sumu.
 
Mimi ni kijana mtoto wa mkulima masikini wa Tanzania namuunga mkono FISADI wenye nguvu kuliko serikali yoyote iliyowahi kuundwa na ccm tangu uhuru.Serikali zote za ccm ziliishia kumpa uwaziri pamoja na ufisadi wake.So kwa kigezo hicho hicho why tusimkabidhi nchi.

Vijana kama hawa ndo wanaojitambua.
 
Sisi vijana wachomeleaji vyuma aka welding, wauza barafu, wenye salon, mashine za kusaga sembe, tutampigia kura Lowassa ili aje kumaliza mgao wa umeme ambao CCM imeshindwa kuumaliza kwa miaka 50. Mbaya zaidi huyo Magufuli toka ameanza kampeni hajawahi kutamka neno UMEME sasa huo ukaribu na vijana utakuwa wa kimwili au? Vijana tunataka ajira kupitia viwanda ambavyo vinahitaji umeme na sio ukaribu na mgombea
 
Et mijitu ya ccm inatetea mpaka mgao wa umeme kuanzia jana watu umeme hatuna.wanakuambia et ni bahat mbaya.kwel wapiga kura weng wa ccm ni mambulula
 
lowassa ndie anae weza.....

mtu anaomba kura kilugha sii atatengeneza mazingira kilugha
 
Chizi ni wewe usiyewajua Fidel Castro wala Che Guevara yet unawalinganisha na mtu.

Hao hawakuwa wezi na mafisadi kama Lowassa, usilinganishe usivyovijua.

Huyo jamaa anafananisha Castro na Edo?Genius wa Kikomyunis na wanamapinduzi Ernesto na mchovu Lowasa???Eti walikuwa machızi,hawa??Hao ndo wana-UKAWA.
 
Kwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?

Kwani hapa duniani ni nchi gani iliyokua na viwanda vikafa vyote?
Ni nchi gani yenye raslimali lakini wananchi asilimia kubwa ni maskini?
Nchi gani wezi wa tembo na twiga awafikishwi mahakamani?
 
Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.

muongo mkubwa!..ninyi wazee ndo mko na magufuli
 
Kaaazi kwelikweli! Vijana wa Tanzania kuibeba ccm october na kuirejesha ikulu kuwatesa na kuwadharau kwa kuwaletea wachina kuuza karanga kariakoo, mtakuwa mmelogwa kabisa. Jitafakarini mnaopelekwa jkt kisha mnanyimwa hadi nafasi za ugambo kijijini kwenu. Aibu kutamka ccm kwa madhilayote haya. Lakini shughuli ni yenu, siye wazee tunakula nchi hadi iishe kabisa ndio na sisi tufe tuwaachie madeni ya wachina.
 
Mapinduzi ya kwelı tutayapata kwa John.Kwanza hana ule unazi ndani ya chama.Anaaminıka toka ndani ya moyo.Lowasa hata kama yuko UKAWA,bado ana U-CCM mwingi na ndiyo maana kila kona anaahidi kuunda tume kushughulikia matatizo.Mpaka sasa Lowasa ana ameshatangaza kuunda tume 12.Hayo ndo mambo tumekuwa tukilalamikia,kuna watendaji wengi kuanzi Waziri,Katibu Mkuu,Kamishna,wakuu wa idara n.k.Tume za nn?Lowasa ni chazo cha mgogoro wa ardhi hukoo,alafu etı aunde tume badala ya yeye kuondoa ng'ombe wake maeneo ya wakulima,mfyuu hatukubalı.
 
Kwa hiyo sisi vijana tuwe na maamuzi magumu kama tunaamini huyu magufuli ataleta mabadiliko tumchague afu baada ya miaka mitano kama hadithi yake ni ileile basi tuna piga chini........
Na pia kama lowasa ataleta mabadiliko tunaamini basi tumwke kama mambo ni yale yale basi twendeni ACT

Magufuli ameonyesha njia na malengo tumpe miaka yake 5, then tutaona hatma yake
 
Back
Top Bottom