Mapinduzi ya kwelı tutayapata kwa John.Kwanza hana ule unazi ndani ya chama.Anaaminıka toka ndani ya moyo.Lowasa hata kama yuko UKAWA,bado ana U-CCM mwingi na ndiyo maana kila kona anaahidi kuunda tume kushughulikia matatizo.Mpaka sasa Lowasa ana ameshatangaza kuunda tume 12.Hayo ndo mambo tumekuwa tukilalamikia,kuna watendaji wengi kuanzi Waziri,Katibu Mkuu,Kamishna,wakuu wa idara n.k.Tume za nn?Lowasa ni chazo cha mgogoro wa ardhi hukoo,alafu etı aunde tume badala ya yeye kuondoa ng'ombe wake maeneo ya wakulima,mfyuu hatukubalı.