Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechelewa,,vijana wote wako kwa Lowasa
Vijana tupo pamoja nawe
Vijana wanojitambua wapo na Magufuli
Mgombea urais kupitia CCM, Dr John Magufuli amezidi kusisitiza kutengeneza mazingira rafiki kwa vijana ili kuboresha vipato vyao na kubadilisha hali zao za maisha kwa ujumla. Serikali yake itajitahidi kuwa karibu na vijana na kutatua changamoto zao kwa wakati.
Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.Baada ya kufahamu wanamuunga mkono lowassa.kwani chama chake ndio kinaingia madarakani ama..hatudanganyiki
Serikali ya ccm imejipangaje kwenye elimu na huko nyuma ilishindwaje mpaka vijana wakajazana mtaani bila ajiraMgombea urais kupitia CCM, Dr John Magufuli amezidi kusisitiza kutengeneza mazingira rafiki kwa vijana ili kuboresha vipato vyao na kubadilisha hali zao za maisha kwa ujumla. Serikali yake itajitahidi kuwa karibu na vijana na kutatua changamoto zao kwa wakati.
Magufuli ndiyo mpango mzima hilo fisadi tupa baharini kabisa.Jamani vijana mbona tunadaganyika? kwasababu wakati jakaya anaingaia madarakani 2005 alikuwa na ahadi yake tamu kwa vijana,haikufanyika chochote je kwa huyu magufuli mambo yaakuwaje?
Kwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?Serikali ya ccm imejipangaje kwenye elimu na huko nyuma ilishindwaje mpaka vijana wakajazana mtaani bila ajira
.Nan awe kwa magufuli.mm sio mjinga kiasi hicho yaan kila mwaka ahad ndio hizo hizo za uongo tu.kidogo angesema miaka hii mitano atashughulikia kero mbili tu,maji na umeme.ss mpaka ule mkutano wa kahama Jana keshatoa ahadi kama mia mbili.halaf mnakuja hapa mnaanza kumsifia ujinga.hv nyny wadudu mnalipwa na hawa fisiem au.kama hamumpend El kwa msiwachague ha chauma
Mimi ni kijana mtoto wa mkulima masikini wa Tanzania namuunga mkono FISADI wenye nguvu kuliko serikali yoyote iliyowahi kuundwa na ccm tangu uhuru.Serikali zote za ccm ziliishia kumpa uwaziri pamoja na ufisadi wake.So kwa kigezo hicho hicho why tusimkabidhi nchi.Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.
Kweli mkuu, kama una chuki na lowassa ni bora uende kwa rungwe kuliko uchague ccm. Siku nitakayoenda kwenye sanduku la kura niichague ccm nahisi nitazimia hapohapoNan awe kwa magufuli.mm sio mjinga kiasi hicho yaan kila mwaka ahad ndio hizo hizo za uongo tu.kidogo angesema miaka hii mitano atashughulikia kero mbili tu,maji na umeme.ss mpaka ule mkutano wa kahama Jana keshatoa ahadi kama mia mbili.halaf mnakuja hapa mnaanza kumsifia ujinga.hv nyny wadudu mnalipwa na hawa fisiem au.kama hamumpend El kwa msiwachague ha chauma
Vijana tupo pamoja nawe
Mgombea urais kupitia CCM, Dr John Magufuli amezidi kusisitiza kutengeneza mazingira rafiki kwa vijana ili kuboresha vipato vyao na kubadilisha hali zao za maisha kwa ujumla. Serikali yake itajitahidi kuwa karibu na vijana na kutatua changamoto zao kwa wakati.
Kweli kabisa mkuu vijana wanaojitambua wapo kwa magufuli, Duniani kote Mapinduzi na Mabadiliko ya kweli yaliletwa na "vichaa" waliojitoa kwa lolote lile yaani liwalo na liwe Edward Lowasa ni "kichaa", rejea watu kama Hugo Chavez, Che guevara, Fidel Castro, Aldof Hitler hawa wote walikuwa na vichaa.