Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

ha ha haha anaweza akamchapa vibao mbele za watu kama mfano

Rais anatumia IQ mcheki Mwenzake hapo... sasa Magufuli IQ yake ina mushkeli...
 
Attachments

  • IMG-20150922-WA0012-1.jpg
    IMG-20150922-WA0012-1.jpg
    12.7 KB · Views: 135
Tusifanye ushabiki katika jambo litakalo tugharimu kwa miaka mitano inatupasa kuchunguza, kutafakali, kuchambua na kufanya maamuzi sahihi ili tujue zipi pumba upi mchele tutakao ula ndani ya miaka mitano. Inatupasa tuchambue ipi nichanya kwetu...... The right choice it needed to make a positive results in our life time.
 
Kiwanda cha kuchambua Pamba na kutengeneza mafuta ya kula kilichopo Chato ambako yeye anatokea na kuwahi kuwa mbunge wa miaka 20 chini ya Biharamulo Cooperative Union (BCU) kina hali gani?

Amewahi kusikika akikiongelea?
Siyo hicho tu. Hakuna viwanda ni magofu. Anadanganya watu eti anasema ukweli wasioviendeleza atavirudisha. Viko wapi viwanda nyenyewe. Tanganyika packers iko wapi? Hivi kwa nini Magufuli uwongo anauita ukweli? Eti anajitapa nasema kweli kabisa. Wezi aka wawekezaji walishang'oa mashine na kuzipeleka wanakojua halafu anatundanganya kupitia TV mfano star tv na kwenye majukwaa ya kampeni
 
  • Thanks
Reactions: CDG
Ungesema hivi: Detail analysis of Magufuri promises. Heading yako kwenye mayai umekaganga lugha ya watu , samahani. (Serious questioning of Magufuli campaign promises)
 
nimeshasema katika thread mbali mbali magufuli anasema asichoweza kusimamia na anasimamia asichokiamini. wakati viwanda hivi vilibinafsishwa akiwa waziri na ameendelea kuwa waziri hivyo ujinga wowote uliofanyika kwenye uporaji huu naye ni sehemu yake.
magufuli kutuambia kuwa nchi itakuwa ya viwanda anatudanganya apate kura tu kwa sababu haainishi ni viwanda vya aina gani? mashine ya kusaga unga nayo ni kiwanda sasa inabidi afunguke ni viwanda vipi anavyoviimba .
jingine je akivirudisha hivi viwanda kwa mfumo upi kwa kulipa fidia au kwa kutaifisha, kupora au kutaifisha?
 
Ungesema hivi: Detail analysis of Magufuri promises. Heading yako kwenye mayai umekaganga lugha ya watu , samahani. (Serious questioning of Magufuli campaign promises)
Be specific, wapi nimekanganya. Hilo pendekezo lako lina sentence ambayo siyo active kwa heading. Nadhani umenielewa. So no problem kwenye heading iliyopo kwenye uzi. Anything else?
 
nimeshasema katika thread mbali mbali magufuli anasema asichoweza kusimamia na anasimamia asichokiamini. wakati viwanda hivi vilibinafsishwa akiwa waziri na ameendelea kuwa waziri hivyo ujinga wowote uliofanyika kwenye uporaji huu naye ni sehemu yake.
magufuli kutuambia kuwa nchi itakuwa ya viwanda anatudanganya apate kura tu kwa sababu haainishi ni viwanda vya aina gani? mashine ya kusaga unga nayo ni kiwanda sasa inabidi afunguke ni viwanda vipi anavyoviimba .
jingine je akivirudisha hivi viwanda kwa mfumo upi kwa kulipa fidia au kwa kutaifisha, kupora au kutaifisha?
Mkuu viwanda vya kurudisha havipo. Anajua anachosema ni uwongo mtupu. Kama hauamini fanya utafiti wa viwanda vyote visivyofanya kazi walishang'oa mashine. Kwani magufo ndiyo kiwanda? Uko sahihi, jamaa inatakiwa kuthathmini kauli na matendo yake.
 
Kiwanda cha kuchambua Pamba na kutengeneza mafuta ya kula kilichopo Chato ambako yeye anatokea na kuwahi kuwa mbunge wa miaka 20 chini ya Biharamulo Cooperative Union (BCU) kina hali gani?

Amewahi kusikika akikiongelea?

Hivi Magufuli alishakuwa mbunge wa jimbo la chato? Nauliza kwani sijawahi kumsikia akizungumzia kiwanda....Ni kweli kuna ginery ya pamba chato? Just curious!
 
Kuna mji unaitwa Murutunguru kisiwa cha ukerewe. Maprofessor wengi na wanasiasa nguli wa watawala wanatokea hapo sina sababu ya kuwataja. Nilibahatika kupita nikataka kulia mala baada ya kukuta kiwanda cha pamba kikizidi kuchakaa na kuwa gofu. Kuna mitambo baadhi engines/ chakavu pamoja na mabati na kwa mujibu wa mwenyeji zinalindwa na mlinzi hapo.
Mzungu aliaandaa kila kitu hadi msitu kwa pembeni ili kukata miti itumike kwa ajili ya kuwezesha nishati (kwa technology ya wkati huo).

nikajiuliza hivi wameshindwa hata kukiboresha na kufanya hata mabanda ya kuku wakisasa. na kuboresha ukerewe iwe ni chicken hub ya lakezone maana samaki hazipo tena.

Nilitamani hata wangebinafsisha kuliko lasilimali kukaa miaka zaidi ya thelasini bila kuingiza kitu.
Magufuli awe mkweli hilo ni ngumu kufanyika akiwa amezunguka na hao makada hata hicho kiwanda au ginery imepakana na kilichokuwa chuo cha siasa cha CCM.
 
Kuna mji unaitwa Murutunguru kisiwa cha ukerewe. Maprofessor wengi na wanasiasa nguli wa watawala wanatokea hapo sina sababu ya kuwataja. Nilibahatika kupita nikataka kulia mara baada ya kukuta kiwanda cha pamba kikizidi kuchakaa na kuwa gofu. Kuna mitambo baadhi engines/ chakavu pamoja na mabati na kwa mujibu wa mwenyeji zinalindwa na mlinzi hapo.
Mzungu aliaandaa kila kitu hadi msitu kwa pembeni ili kukata miti itumike kwa ajili ya kuwezesha nishati (kwa technology ya wkati huo).

nikajiuliza hivi wameshindwa hata kukiboresha na kufanya hata mabanda ya kuku wakisasa. na kuboresha ukerewe iwe ni chicken hub ya la kezone maana samazi hazipo.

Nilitamani hata wangebinafsisha kuliko lasilimali kukaa miaka zaidi ya thelasini bila kuingiza kitu.
Magufuli awe mkweli hilo ni ngumu kufanyika akiwa amezunguka na hao makada hata hicho kiwanda au jinery imepakana na kilichokuwa chuo cha siasa cha CCM.
Huu ni mfano mzuri kuonyesha ahadi za uwongo za Magufuli. Hakuna viwanda ni magofu.
 
Huu ni mfano mzuri kuonyesha ahadi za uwongo za Magufuli. Hakuna viwanda ni magofu.

yaani tukiendelea kupiga marktime na hizi nyimbo za ccm mbele kwa mbele hatutatoka mkuu.
Mfano china wanajenga mabwawa makubwa ajabu wanafuga sato, na samaki mbali mbali muda sio mrefu wataanza kumiminika mitaani tanzania kwa bei nafuu.

We need visionary leader
 
Nimefikiri sana tangu kampeni zianze nakusikiliza sera ccm nikagundua ata jk miaka iliopita aliahidi na leo magufuli ana ludia tena basi sitaki kupoteza kura yangu ngoja nihipeleke ukawa sababu wameonesha wania ya dhati kutuletea maendeleo watanzania.
 
yaani tukiendelea kupiga marktime na hizi nyimbo za ccm mbele kwa mbele hatutatoka mkuu.
Mfano china wanajenga mabwawa makubwa ajabu wanafuga sato, na samaki mbali mbali muda sio mrefu wataanza kumiminika mitaani tanzania kwa bei nafuu.

We need visionary leader
Ndiyo maana tunasema Magufuri aache uwongo viwanda anavyosema siyo viwanda bali magofu, walishaiba mashine hao anaosema atawanyang'anya viwanda. Utamnyang'anya nini wakati alishang'oa mashine?
 
ni tangazo la magufuli linaonyesha namna magufuli atakavozuia mgambo kumwaga misosi ya mama ntilie. ndio limeanza kuruka live Leo kupitia Chanel 10
magufuli ni strategist da!
 
Mgambo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi.. Magufuli hata sheria za nchi hazijui.. huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
 
Hivyo sivyo kiongozi wa ngazi ya juu anapaswa kuongea! Sasa unadhani hao mgambo wanajipa hiyo kazi ama viongozi wa serikali ndio wanaomtuma???

Magufuli hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu! Nimekumbuka namna alivyokuwa anafanya bomoabomoa nyumba za walalahoi wakati serikali yenyewe ndio iliyowaruhusu kujenga!

Nimemkumbuka Ben Membe!
 
Back
Top Bottom