Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
ha ha haha anaweza akamchapa vibao mbele za watu kama mfano
Rais anatumia IQ mcheki Mwenzake hapo... sasa Magufuli IQ yake ina mushkeli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haha anaweza akamchapa vibao mbele za watu kama mfano
Siyo hicho tu. Hakuna viwanda ni magofu. Anadanganya watu eti anasema ukweli wasioviendeleza atavirudisha. Viko wapi viwanda nyenyewe. Tanganyika packers iko wapi? Hivi kwa nini Magufuli uwongo anauita ukweli? Eti anajitapa nasema kweli kabisa. Wezi aka wawekezaji walishang'oa mashine na kuzipeleka wanakojua halafu anatundanganya kupitia TV mfano star tv na kwenye majukwaa ya kampeniKiwanda cha kuchambua Pamba na kutengeneza mafuta ya kula kilichopo Chato ambako yeye anatokea na kuwahi kuwa mbunge wa miaka 20 chini ya Biharamulo Cooperative Union (BCU) kina hali gani?
Amewahi kusikika akikiongelea?
Inaonyesha ubinafsi na udikteta wake.Dkt.j.p.magufuli anainyelea katiba ya jmt ya mwaka 77,kila anapopanda majukaani ni kusema"tanzania ya magufuli"
Be specific, wapi nimekanganya. Hilo pendekezo lako lina sentence ambayo siyo active kwa heading. Nadhani umenielewa. So no problem kwenye heading iliyopo kwenye uzi. Anything else?Ungesema hivi: Detail analysis of Magufuri promises. Heading yako kwenye mayai umekaganga lugha ya watu , samahani. (Serious questioning of Magufuli campaign promises)
Mkuu viwanda vya kurudisha havipo. Anajua anachosema ni uwongo mtupu. Kama hauamini fanya utafiti wa viwanda vyote visivyofanya kazi walishang'oa mashine. Kwani magufo ndiyo kiwanda? Uko sahihi, jamaa inatakiwa kuthathmini kauli na matendo yake.nimeshasema katika thread mbali mbali magufuli anasema asichoweza kusimamia na anasimamia asichokiamini. wakati viwanda hivi vilibinafsishwa akiwa waziri na ameendelea kuwa waziri hivyo ujinga wowote uliofanyika kwenye uporaji huu naye ni sehemu yake.
magufuli kutuambia kuwa nchi itakuwa ya viwanda anatudanganya apate kura tu kwa sababu haainishi ni viwanda vya aina gani? mashine ya kusaga unga nayo ni kiwanda sasa inabidi afunguke ni viwanda vipi anavyoviimba .
jingine je akivirudisha hivi viwanda kwa mfumo upi kwa kulipa fidia au kwa kutaifisha, kupora au kutaifisha?
Kiwanda cha kuchambua Pamba na kutengeneza mafuta ya kula kilichopo Chato ambako yeye anatokea na kuwahi kuwa mbunge wa miaka 20 chini ya Biharamulo Cooperative Union (BCU) kina hali gani?
Amewahi kusikika akikiongelea?
Huu ni mfano mzuri kuonyesha ahadi za uwongo za Magufuli. Hakuna viwanda ni magofu.Kuna mji unaitwa Murutunguru kisiwa cha ukerewe. Maprofessor wengi na wanasiasa nguli wa watawala wanatokea hapo sina sababu ya kuwataja. Nilibahatika kupita nikataka kulia mara baada ya kukuta kiwanda cha pamba kikizidi kuchakaa na kuwa gofu. Kuna mitambo baadhi engines/ chakavu pamoja na mabati na kwa mujibu wa mwenyeji zinalindwa na mlinzi hapo.
Mzungu aliaandaa kila kitu hadi msitu kwa pembeni ili kukata miti itumike kwa ajili ya kuwezesha nishati (kwa technology ya wkati huo).
nikajiuliza hivi wameshindwa hata kukiboresha na kufanya hata mabanda ya kuku wakisasa. na kuboresha ukerewe iwe ni chicken hub ya la kezone maana samazi hazipo.
Nilitamani hata wangebinafsisha kuliko lasilimali kukaa miaka zaidi ya thelasini bila kuingiza kitu.
Magufuli awe mkweli hilo ni ngumu kufanyika akiwa amezunguka na hao makada hata hicho kiwanda au jinery imepakana na kilichokuwa chuo cha siasa cha CCM.
Huu ni mfano mzuri kuonyesha ahadi za uwongo za Magufuli. Hakuna viwanda ni magofu.
Ndiyo maana tunasema Magufuri aache uwongo viwanda anavyosema siyo viwanda bali magofu, walishaiba mashine hao anaosema atawanyang'anya viwanda. Utamnyang'anya nini wakati alishang'oa mashine?yaani tukiendelea kupiga marktime na hizi nyimbo za ccm mbele kwa mbele hatutatoka mkuu.
Mfano china wanajenga mabwawa makubwa ajabu wanafuga sato, na samaki mbali mbali muda sio mrefu wataanza kumiminika mitaani tanzania kwa bei nafuu.
We need visionary leader