Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

-Nchi itakuwa kama ya Libya
-usichome kitanda (CCM) Unguza kunguni wake.
-Saddam alikuwa rais wa kuwait
 
wakati Ngoyai akinadi sera kwa kauli zosizotiliwa shaka na watanzania wenye akili tamamu, mgombea wa ccm bwana Pombe amekuwa akitowa kauli za kutilia shaka weledi wake katika masuala ya siasa. Baadhi ya kauli zake no hizi:

1. Nitafufua viwanda
->alisema haya akijuwa fika kuwa huwezi kufufua viwanda katika nchi ambayo upatikanaji wa umeme wa uhakika.

2. Ninachukia wala-rushwa
->hapa alikuwa anahubiri chuki kwa unafiki uliokubuhu akisahau kuwa baba na mama wa rushwa Tanzania ni chama chake ccm. hafai kuwa rais huyu maana anahubiri chuki badala ya upendo. Angeeleweka zaidi angesema anachukia rushwa.

3. Wanajuwa nikiwa rais nitawafunga
->hapo bado ni mgombea tu anatishia kuwafunga waTZ jela. Tanzania haiko tayari kwa kuongozwa name rais dikteta.

Je unakumbuka kauli zingine tata za Pombe? Ziorodheshe:

Ng'wanangwa ulibugali bo shipolo na ulibuli. Ubebe.......... Lowasa atakulipa
 
Wachawi wa maendeleo Tanzania ni sisi wananchi wenyewe

Watanzania katika hali ya kimantiki hatuwezi kupiga hatua kama hatujui adui yetu ni nani. Adui wa watanzania sio CCM, adui ni ujinga wetu wa kutotaka kujua ukweli, mnajua wanamtandao ambao wapo nchini na wapo kwa maslahi ya kushika dola na kuendelea kujineemesha kwa kutumia rasilimali zetu.

Wameivuruga CCM, hawakuiacha salama na kwa sasa kwa sababu wamegeukia upande wa pili wanaonekana kuwa na thamani, wakati huo CCM ikipata kupumua. Lazima tujue hawa waliohamia huku upinzani ni nani na wana madhara gani kwa Taifa.

Watu hawa hawana uchungu na raia wa nchi hii ila wameishia kupiga madili, haijalishi leo unafurahia kupata taarifa za ndani ya CCM kutokana na mitandao yao, japo hazina msaada wowote wa kubadilisha maisha yako bali utazidi kutaabika na maisha wakati huo wenzako wanagawana posho.

Napenda kushauri kuwa tunapoenda kuchagua rais,wabunge na madiwani tuangalie mambo muhimu ambayo baba wa Taifa amekuwa akisisitiza. Tuchague kiongozi ambaye si Tajiri au ambaye Utajili wake kaupata kwa vinasaba vya ufisadi, rushwa, madhara ya rushwa sote tunayajua na yamefungwa hata upande wa pili siyo agenda yake tena. Pia tusimchague kutokana na kabila au dini yake.
 
Huyu ndo kura yanguu
 
Mgombea urais kupitia CCM, Dr John Magufuli amezidi kusisitiza kutengeneza mazingira rafiki kwa vijana ili kuboresha vipato vyao na kubadilisha hali zao za maisha kwa ujumla. Serikali yake itajitahidi kuwa karibu na vijana na kutatua changamoto zao kwa wakati.

Huyu ndo kura yangu mimi na yangu ya watu 12
 
Kuna NGO imetoa matokeo yake baada ya utafiti (TADIP) ENL 54%,JPM 40%. Hiyo kampuni iliyofanya utafiti nimeuangalia mara mbilimbili ikabidi niifuatilie kiundani.

Nikaanza kupata majibu.Wanafadhiliwa na taasisi ya Kijerumani CAS ambayo pia ni Mfadhili wa CHADEMA..Hapa picha nikaanza kuipata. He he he
Nikawaza sana nikahisi hawa watu wanajitekenya alafu wanacheka wenyewe.

Kumbe Sio kufadhiliwa tu hiyo ni NGO iliyoanzishwa na CHADEMA mwaka 2008.Hapa picha halisi ikaja.Kumbe na Mkurugenzi wake wa kwanza alikuwa Zitto Kabwe.Mchoro mzima nikawa nimeshaupata.

Nikaagiza vipande viwili vya mihogo ya kukaanga nkashushia na Maji ya Kandoro.He he he.Life goes on.Maisha yanahitaji nini tena.

Hakuna chama kinachoweza kufanya utafiti chenyewe alafu kikaonyesha kinashindwa! Hata CHAUMA hawawezi kufanya hivyo! Labda muwape watu kazi wawafanyie utafiti.

Technically Sumaye yupo pale kwa ajili ya kuongea kwa niaba ya mgombea.

Legacy iliyotengenezwa kwa miaka 15 imeharibiwa na watu wawili MBOWE na ENL.CDM ya sasa ni yule jamaa anakula Ugali kwa picha ya samaki.

Muadilifu,Mzalendo, Mchapa kazi, Mzima wa afya, Maneno yake hayapishani na vitendo vyake. RAIS wangu ni Dr. John Pombe Magufuli.

Anasema wakulima wataenda Mouritius kutembea lakini wamasai wa jimbo lake wanakuja Dar kuuza ugoro na kujihusisha na Ususi. Mungu nichukue.Lowassa tuhurumie kidogo.

Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate imenunuliwa. Wasanii wamenunuliwa.Na mimi nimehongwa.He he he he.
Tuwe creative kidogo.
 
kuna watu mnajifanya mnajua siasa kumbe......... looooh!!!!!! toka lini chedema imeingia madarakani kuwa chama tawala na kushindwa kutekeleza msemayo??????? nini maana ya chama tawala na ahadi zake?????????? kwendeni huko tumechoka
 
we babu toka lini ukawa kijana? Vijana wote wameshafanya maamuzi ya kumchagua Lowasa
Ndio maana nasema humu JF kuna upotoshaji mkubwa sana. Mtu humjui lakini unakurupuka tu kuandika upuuzi wako ili mradi tu umeandika. Wengine sijui ni makahaba wa akili au mashoga wa kufikiri sijui. Vyovyote vile uwavyo fahamu kwamba MAGUFULI ndio rais wako mpya. Upige kura UKAWA, usipige kura MAGUFULI ndio rais wako mpya. Utaisoma namba. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
 
kuna watu mnajifanya mnajua siasa kumbe......... looooh!!!!!! toka lini chedema imeingia madarakani kuwa chama tawala na kushindwa kutekeleza msemayo??????? nini maana ya chama tawala na ahadi zake?????????? kwendeni huko tumechoka

Ahad gan ambazo hazijatekelezwa lofa ww?
 
Kuna NGO imetoa matokeo yake baada ya utafiti (TADIP) ENL 54%,JPM 40%. Hiyo kampuni iliyofanya utafiti nimeuangalia mara mbilimbili ikabidi niifuatilie kiundani.

Nikaanza kupata majibu.Wanafadhiliwa na taasisi ya Kijerumani CAS ambayo pia ni Mfadhili wa CHADEMA..Hapa picha nikaanza kuipata. He he he
Nikawaza sana nikahisi hawa watu wanajitekenya alafu wanacheka wenyewe.

Kumbe Sio kufadhiliwa tu hiyo ni NGO iliyoanzishwa na CHADEMA mwaka 2008.Hapa picha halisi ikaja.Kumbe na Mkurugenzi wake wa kwanza alikuwa Zitto Kabwe.Mchoro mzima nikawa nimeshaupata.

Nikaagiza vipande viwili vya mihogo ya kukaanga nkashushia na Maji ya Kandoro.He he he.Life goes on.Maisha yanahitaji nini tena.

Hakuna chama kinachoweza kufanya utafiti chenyewe alafu kikaonyesha kinashindwa! Hata CHAUMA hawawezi kufanya hivyo! Labda muwape watu kazi wawafanyie utafiti.

Technically Sumaye yupo pale kwa ajili ya kuongea kwa niaba ya mgombea.

Legacy iliyotengenezwa kwa miaka 15 imeharibiwa na watu wawili MBOWE na ENL.CDM ya sasa ni yule jamaa anakula Ugali kwa picha ya samaki.

Muadilifu,Mzalendo, Mchapa kazi, Mzima wa afya, Maneno yake hayapishani na vitendo vyake. RAIS wangu ni Dr. John Pombe Magufuli.

Anasema wakulima wataenda Mouritius kutembea lakini wamasai wa jimbo lake wanakuja Dar kuuza ugoro na kujihusisha na Ususi. Mungu nichukue.Lowassa tuhurumie kidogo.

Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate imenunuliwa. Wasanii wamenunuliwa.Na mimi nimehongwa.He he he he.
Tuwe creative kidogo.

Mkuu hata siku moja wanywa viroba hawawezi kufikiri na kuchambua mambo. Vijana wanaoshabikia UKAWA wameharibiwa na Viroba ndio maana uwezo wao wa kufikiri umepotea kabisa. Akili zao hazina tofauti na akili za mnyama anayeitwa Nyumbu. Angalia vizuri mikutano ya UKAWA, imejaa wanywa viroba kibao! na kwa kutumia uzoefu hawa wanywa viroba sio watu makini hata katika kupiga kura hawa sio wa kutegemewa kabisa. CCM ina mtaji mkubwa sana wa wapiga kura makini wanaojitambua. Na hii ndio itaifanya CCM irudi tena madarakani tena kwa kishindo kikubwa sana. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
 
Wachawi wa maendeleo Tanzania ni sisi wananchi wenyewe

Watanzania katika hali ya kimantiki hatuwezi kupiga hatua kama hatujui adui yetu ni nani. Adui wa watanzania sio CCM, adui ni ujinga wetu wa kutotaka kujua ukweli, mnajua wanamtandao ambao wapo nchini na wapo kwa maslahi ya kushika dola na kuendelea kujineemesha kwa kutumia rasilimali zetu.

Wameivuruga CCM, hawakuiacha salama na kwa sasa kwa sababu wamegeukia upande wa pili wanaonekana kuwa na thamani, wakati huo CCM ikipata kupumua. Lazima tujue hawa waliohamia huku upinzani ni nani na wana madhara gani kwa Taifa.

Watu hawa hawana uchungu na raia wa nchi hii ila wameishia kupiga madili, haijalishi leo unafurahia kupata taarifa za ndani ya CCM kutokana na mitandao yao, japo hazina msaada wowote wa kubadilisha maisha yako bali utazidi kutaabika na maisha wakati huo wenzako wanagawana posho.

Napenda kushauri kuwa tunapoenda kuchagua rais,wabunge na madiwani tuangalie mambo muhimu ambayo baba wa Taifa amekuwa akisisitiza. Tuchague kiongozi ambaye si Tajiri au ambaye Utajili wake kaupata kwa vinasaba vya ufisadi, rushwa, madhara ya rushwa sote tunayajua na yamefungwa hata upande wa pili siyo agenda yake tena. Pia tusimchague kutokana na kabila au dini yake.
Swali hapa ni je, wanywa viroba wamekuelewa???????? #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
 
Dr Magufuli amesema katika uongozi wake Watanzania watarajie utumishi uliotukuka, watarajie uadilifu wa hali ya juu na uchapakazi wa viwango. Watanzania watarajie Serikali itakayokuwa inaamua kwa haraka, kutenda kwa haraka.Lakini sio tu uamuzi wa haraka na utendaji wa haraka bali pia uamuzi ulio sahihi na kwa wakati sahihi.

Watanzania watarajie serikali itakayokuwa imara, itakayosimamia maslahi ya umma, uongozi wa kidemokrasia lakini pia wategemee uwepo wa nidhamu kwenye serikali na jamii nzima.Hayo ndiyo mabadiliko atakayosimamia Dr Magufuli.
 
Hongera, simamia maslahi mapana ya Taifa
 
Back
Top Bottom