Uchambuzi wa akili na mitazamo ya wanaoiunga Mkono Ukraine au Russia,

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita.

Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine wameamua kupigana vita hatimaye watakuja kujadiliana. Labda wangejadiliana leo hii kungekuwa hakuna hii vita.

Kwenye kuangalia akili na mitazamo inayozaa tabia za watu wanaounga mkono mojawapo ya pande zinazopigana, mambo mbali mbali huzingatiwa ikiwamo, asili ya mtu, uelewa wake, dini yake, Maslahi yake kwa vita iliyopo, chuki ama upendo kwa pande zinazopigana, na zaidi ya yote mtu wake wa ndani ana tabia gani.

Kwa kuangalia nchi na watu wanaoiunga mkono Russia ama Ukraine, unaweza kuwaweka kwenye uchambuzi upi??

Kwa mfano tabia ya watu wanaoiunga mkono Russia zikoje!!
 
Warusi wa buza Tatizo lao ni Ilimu sishangai nikiambiwa waliofika la.7 ni wachache tena waliofeli!
Wengi ni la.4 kuja chini!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
We nae akili zako ni mzigo mada gani hii
 
Hapa kama nafanya uchambuzi kuhusu wewe, nitakuweka kwenye la watu waliozoea kuandikiwa mada zenye kujieleza moja kwa moja bali hawana uwezo wa kuelewa mada zenye kuhitaji uchambuzi!!
Sasa umeleta mada ili tukuchambulie? Heading haielezi hilo lakini ndugu verified user
 
Kati ya kichwa cha habari na habari yenyewe wewe huongozwa na nini??

Hii habari inalenga kupata mawazo ya watu wengine kwa kuweka muongozo. mgen kachangia kwani hakuona kichwa cha habari??
 
Acha kupoteza muda ndugu....Enjoy maisha yako huko uliko....haya mambo ya Urusi na Ukraine yasikupotezee muda....Acha watwangane...sisi tukaepembeneni tuangalie mtanange....isitoshe Afrika tunavita zetu za kutosha....Hao tunashabikia kama simba na Yanga humu....
 
Yap.

Unapofanya uchambuzi ndiyo unafikia kwenye hoja yako.

Kama sisi Afrika tuna vita zetu za kutosha kwa nini tunaziacha hizo na kushabikia hii ya Ukraine na Russia?

Halafu kwani akili zetu zinatutumaje hadi tushangilie hii vita kama ushabiki wa Yanga na Simba!??

Jee kutwangana kwa Ukraine na Russia sisi tunafaidika ama tunapata vipi hasara!??
 
proRussia akili zao zimelala kwenye conspiracies, pseudo science, religion fanaticism, historia potofu ya kuungaunga, chuki kwa Marekani, kutopenda demokrasia na obsession ya ushoga.
 
Umeapiaga Pentagon...

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Wanaoisapoti marekani ni wale walioaminishwa na kukariri kuwa marekani hashindwi na kitu. Kwa kifupi ni watu waliodanganywa sana na sinema
 
Hapa kama nafanya uchambuzi kuhusu wewe, nitakuweka kwenye kundi la watu waliozoea kuandikiwa mada zenye kujieleza moja kwa moja bali hawana uwezo wa kuelewa mada zenye kuhitaji uchambuzi!!
Ukimchunguza huyo utagundua ni pro russia.
 
proRussia akili zao zimelala kwenye conspiracies, pseudo science, religion fanaticism, historia potofu ya kuungaunga, chuki kwa Marekani, kutopenda demokrasia na obsession ya ushoga.
Hii chuki wa US ndo imezidi kwao, US kuwapopoa waarabu kumewaumiza kuliko hata misiba ya ndugu zao.
 
Back
Top Bottom