Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita.
Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine wameamua kupigana vita hatimaye watakuja kujadiliana. Labda wangejadiliana leo hii kungekuwa hakuna hii vita.
Kwenye kuangalia akili na mitazamo inayozaa tabia za watu wanaounga mkono mojawapo ya pande zinazopigana, mambo mbali mbali huzingatiwa ikiwamo, asili ya mtu, uelewa wake, dini yake, Maslahi yake kwa vita iliyopo, chuki ama upendo kwa pande zinazopigana, na zaidi ya yote mtu wake wa ndani ana tabia gani.
Kwa kuangalia nchi na watu wanaoiunga mkono Russia ama Ukraine, unaweza kuwaweka kwenye uchambuzi upi??
Kwa mfano tabia ya watu wanaoiunga mkono Russia zikoje!!