Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze
Tujikumbushe goli kama hili limewahi kufungwa na Cristian ronaldo akiwa pale Madrid
Kwa upande wa bongo goli kama hili lilifungwa na mnyama Chripin Ngush wa Mbeya kwanza kwenye mech na mbeya city. Pale mbeya kwanza walivokuja na come back ya kibabe kurudisha goli mbili
NOTE:. Makolo fc (Simba ) tangu kuanzishwa hawajawahi kufunga goli kama hili wala hawajui linafungwa vipi. Labda kama wamewahi kufunga kwenye mech za mazoez leten ushaidi hapa.
Mbinu kwa wazazi Kwa hili goli hili ....unaruhusiwa kumpa mtoto akamuonyeshe headmaster pale baada ya shule kufungua ....badala ya kubeba risit za malipo.