Uchambuzi wa goli la Fiston Mayele

Kuna goli Ajibu alifungaga akiwa Yanga, nakumbuka nalo ni acrobatic japo sina uhakika kama nalo linafanana na hili la Mayele
Hapana hili la MAYELE ....naona ni hatari coz mpira ulikuwa kasi Sana .....lakin pia alitingwa na mabek wawil
 
Kabisa mkuu ......kolo hawakuamini kilichotokea jana
 
Angalizo: Goli hili ni la hatari usijaribu kufanya mazoezi ya kufunga goli kama hili unaweza kuvunjika uti wa mgongo na kupata ulemavu katika maisha yako.
 
Swali,lini mchezaji wa Simba akafunga goli kama la Mayele? Tatizo Simba hamtaki kumkubali Mayele hadharani ila kimoyomoyo mnampenda hatuwashangai ndiyo kawaida yenu mlikuwa mnamponda Morrison kipindi kile anapanda juu ya mpira kumbe mnampenda mkamchukua hatushangai kuona leo mkimnyemelea na kumtaka Mayele.
 
Hawaelew wanahitaji nn
 
Lete video zake weka hapa.Acha kuleta takwimu bila ushahidi
 
Mashabiki wa Tanzania kama wahunzi vile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…