Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hili la MAYELE ....naona ni hatari coz mpira ulikuwa kasi Sana .....lakin pia alitingwa na mabek wawilKuna goli Ajibu alifungaga akiwa Yanga, nakumbuka nalo ni acrobatic japo sina uhakika kama nalo linafanana na hili la Mayele
Kabisa mkuu ......kolo hawakuamini kilichotokea janaMakolo jana wamelala na viatu.
Hawaamini tena. Yaan hapo jumamosi wanakipiga na wana lamba lamba mechi ambayo wanaweza kufa.
Kitu cha kushangaza ni kwamba wanawatwisha biashara na timu zingine zigo la misumari la kuwafunga Yanga, zigo ambalo wao wameshindwa kulibeba.
Au unasemea lile la Nape ...[emoji23][emoji23]Tafuteni goli linaitwa typewriter lilifungwa na Bujibuji Simba Nyanaume akichezea Kifwamba FC, halijawahi kutokea duniani
Maneno ya kukata tamaa hayatuwatwishe vipi biashara? kwan yule alusema biashara wakisuluhu na simba watapewa milioni kumi amehamia simba?
kila mtu ashinde mechi zake hata kwa mbeleko fresh tu
Sawa sawaHapana hili la MAYELE ....naona ni hatari coz mpira ulikuwa kasi Sana .....lakin pia alitingwa na mabek wawil
Angalizo: Goli hili ni la hatari usijaribu kufanya mazoezi ya kufunga goli kama hili unaweza kuvunjika uti wa mgongo na kupata ulemavu katika maisha yako.Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze
Tujikumbushe goli kama hili limewahi kufungwa na Cristian ronaldo akiwa pale Madrid
Kwa upande wa bongo goli kama hili lilifungwa na mnyama Chripin Ngush wa Mbeya kwanza kwenye mech na mbeya city. Pale mbeya kwanza walivokuja na come back ya kibabe kurudisha goli mbili
NOTE:. Makolo fc (Simba ) tangu kuanzishwa hawajawahi kufunga goli kama hili wala hawajui linafungwa vipi. Labda kama wamewahi kufunga kwenye mech za mazoez leten ushaidi hapa.
Mbinu kwa wazazi Kwa hili goli hili ....unaruhusiwa kumpa mtoto akamuonyeshe headmaster pale baada ya shule kufungua ....badala ya kubeba risit za malipo.
View attachment 2059008
Lete video zake weka hapa.Acha kuleta takwimu bila ushahidiShiza kichuya vs singida united 2017/18
shaban idd chilunda vs yanga 2018/19
Swali,lini mchezaji wa Simba akafunga goli kama la Mayele? Tatizo Simba hamtaki kumkubali Mayele hadharani ila kimoyomoyo mnampenda hatuwashangai ndiyo kawaida yenu mlikuwa mnamponda Morrison kipindi kile anapanda juu ya mpira kumbe mnampenda mkamchukua hatushangai kuona leo mkimnyemelea na kumtaka Mayele.
Hawaelew wanahitaji nnSwali,lini mchezaji wa Simba akafunga goli kama la Mayele? Tatizo Simba hamtaki kumkubali Mayele hadharani ila kimoyomoyo mnampenda hatuwashangai ndiyo kawaida yenu mlikuwa mnamponda Morrison kipindi kile anapanda juu ya mpira kumbe mnampenda mkamchukua hatushangai kuona leo mkimnyemelea na kumtaka Mayele.
Mashabiki wa Tanzania kama wahunzi vile!!Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze