Uchambuzi wa goli la Fiston Mayele

Goli alilofunga Mayele lilifungwa na Mtoto wa Mbeya kwanza Wakati ligi inaanza ila halikusemwa kwasababu ni Wa Mbeya Kwanza, Cross Ilipigwa kwa Tick Tack Moja Hatari na gori likafungwa zaidi ya Lile la Mayele Tafuta Clip utaona
 
Hili hapa mkuu,
Your browser is not able to display this video.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Bado goli la mayele ni hatariiiii sana. Haieleweki hata alibinukaje
Goli alilofunga Mayele lilifungwa na Mtoto wa Mbeya kwanza Wakati ligi inaanza ila halikusemwa kwasababu ni Wa Mbeya Kwanza, Cross Ilipigwa kwa Tick Tack Moja Hatari na gori likafungwa zaidi ya Lile la Mayele Tafuta Clip utaona
 
Goli la Mayele unaolea mke kabsa kama mahali
 
Goli alilofunga Mayele lilifungwa na Mtoto wa Mbeya kwanza Wakati ligi inaanza ila halikusemwa kwasababu ni Wa Mbeya Kwanza, Cross Ilipigwa kwa Tick Tack Moja Hatari na gori likafungwa zaidi ya Lile la Mayele Tafuta Clip utaona
Lkn goli la Mbeya kwanza halikufungwa kiugumu zaidi......lkn goli la MAYELE limefungwa katikat ya wachezaji wawili ....na ilipigwa Dry cross
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…