Uchaguzi 2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

Mkuu nimeishia kusoma hapo kwenye fao la kujitoa,eti unasema fao la kujitoa haliwezekani kwa kuwa mifuko Ina pesa kidogo kwani mtu anayejitoa anachukua pesa ya mfuko au pesa zake alizoweka hapo?
Watu kama hawa ni kuwaelimisha mana wanachambua mambo ambayo hawayaelewi kabisa
 
Kwahiyo mshahara wako Ni 15m kwa mwezi sawa na 180m kwa mwaka na 9000m kwa miaka mitano bado unalilia 108m ili ujenge?
Mkuu usilazimishe plan zako ziwe sawa na zetu sisi wengine kufanya kazi na shirika au kampuni moja kwa zaidi ya miaka mitano hatuwezi.Hiyo 15 ni ndogo kuliko ninayopata sasa
 
Mkuu usilazimishe plan zako ziwe sawa na zetu sisi wengine kufanya kazi na shirika au kampuni moja kwa zaidi ya miaka mitano hatuwezi.Hiyo 15 ni ndogo kuliko ninayopata sasa
Na haiwezi kujenga Hadi ulipwe nssf?
 
Lisu tapeli wa kisiasa
Mkuu kamchague mzee wa kununua ndege,maana ndege zitaongeza GNI toka 1080 USD hadi 3000 baada ya kuiongeza kwa USD 100.00 in five years
 
Na haiwezi kujenga Hadi ulipwe nssf?
Mkuu nilikupa mfano na nikakuambia namna nilivyojenga huko nyumba.na Kuna watanzania wengi wangependa au wanatumia strategy hiyo.Naona unaipersonalize.any way fao la kujitoa ni muhimu sana
 
Safi kabisa kwa Lissu na CDM tutaelewana tu ila tusiache kupinga ushenzi kwa wagombea wetu haikubaliki kabisa ushamba wa namna hii.
 
Lissu siyo mzalendo hata kidogo, ukiangalia sera zake zipo kujenga taifa tegemezi na sio taifa linalojitegemea. Tunataka Tanzania yenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu katika siku za usoni, na sio taifa tegemezi.
kwa zaidi ya miaka 50 ccm imeshindwa kuifanya Tz iweze kujitegemea kwa kila kitu, condom tu Tz inasaidiwa, kutahiri watu mpaka kwa hisani ya watu wa marekani! vyandarua tu mpaka mabeberu wasaidie, kujenga vyoo tu uhamasishaji ufanyike tena kwa kutumia fedha za mabeberu, mkoa wenye wasomi kama kagera ni kati ya mikoa ambayo kaya zenye vyoo bora ni chache......nyerere pamoja na juhudi zake na kukaa madarakani miaka 24 tena kaikuta nchi ikiwa kigoli, bikra, yaan mwali kabisaaa alishindwa vibaya mno kuifanya ijitegemee mpaka kwa aibu akaona bora aachie madaraka! sawa Magu atajipa 5 tena na pengine akawa raisi mpake afe ila kwa staili yake ya uongozi nchi kujitegemea ni ndoto za alinacha na hivi anavyohimiza waTz wazaliane nao wanavyozaliana ka panya Tz kujitegemea sahau
 
Ukweli ni kwamba sera za chadema zinawagusa wananchi moja kwa moja. Kwa maumivu tuliyoyapata ndani ya miaka mitano ya jiwe hakika Lissu ndio tumaini letu.
 
Wakati mwingine usikimbilie kuleta umbea hapa ilihali kichwa kimejaa kamasi, kwenye hiyo namba 4 usipotoshe watu lissu kasema atawalipa fidia watumishi kuanzia 2015 mpaka 2020 sasa hii abari ambayo unasema makampuni yaliyo taifishwa miaka ya nyuma nayewenyewe yatadai fidia umeitowa wapi?
 
Umechambua au umepinga??

Viingereza viiiiingiiiiii ujinga mtupu!

Unafikiri unaongea na watoto wenzako???

Chambua hotuba kama kweli unataka kuichambua katika mizania sawa.

Wewe sema tu jamaa kawapigeni bao mmechanganyikiwa!
 
Kwendraaaaaa huko.Mmezoea Ulaghai kwa hiyo kila mtu mnamuona ni laghai kama CCM
 
Kwa hiyo unataka kutuambia ccm kumbe miaka yoote huwa mnatulisha matango pori ahaaaaa kura yangu kwa Lisu 2020
 
Lissu siyo mzalendo hata kidogo, ukiangalia sera zake zipo kujenga taifa tegemezi na sio taifa linalojitegemea. Tunataka Tanzania yenye uwezo wa kujitegemea kwa kila kitu katika siku za usoni, na sio taifa tegemezi.
Sera za Tundu Lissu ni bora mara elfu kuliko za CCM.CCM inarudisha ujamaa leo kweli? Halafu utegemeee tuendeleee
 
Mkuu nimeishia kusoma hapo kwenye fao la kujitoa,eti unasema fao la kujitoa haliwezekani kwa kuwa mifuko Ina pesa kidogo kwani mtu anayejitoa anachukua pesa ya mfuko au pesa zake alizoweka hapo?
Zimeenda wapi kama hazipo na zilikuwa zikichangiwa tuanze na hao mchwa waliozitafuna kwanza
 
Akili yako ni ndogo sana
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…