Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

CE ndo baba lao kati ya hizo 3 zilizoongelewa hapo,mtu wa CE anaweza kufanya kazi za mtu wa CS ila mtu wa CS hawezi kufanya kazi zingine za CE,nadhani umeelewa
Nadhani haujaelewa somo. Computer Engineering ni tawi la Electronics Engineering, wao hawafahamu kuhusu utendaji kazi wa computer, hawafahamu computing bali wamejikita katika ufundi zaidi. Engineering hujikita kumuandaa mtu kuwa na skills za kujenga / kutengeneza vitu, huko haujitunzi kwa undani namna computer inavyofanya kazi bali unafundishwa components. Kuanzia programming, software n.k haziwahusu. Process za computing zinazoendelea nyuma ya pazia ndizo zinawezesha computer iwe kifaa kamili tunachoweza kukitumia. Computing huhusisha zaidi muunganiko wa hesabu na programming, hivyo computer science ni kama muungano wa programming na hesabu. Unapozungumzia computer unazungumzia Computer Science.
 
Sawa mkuu, nipo hapa kujifunza na kujua zaidi
 
Ukweli mkubwa zaidi ni kwamba sio rahisi kutofautisha hizi kozi bila kuangalia syllabus ya chuo husika na kuzifananisha zinatofautiana kati ya shule na shule, so usikariri engineering iko hivi na CS iko vile, chambua syllabus.

Pia hakuna mtu atakayekuzuia kuwa programmer kwa vile umesoma IT au kuwa IT kwa vile umesoma CS, kama unaweza vitendo.
 
IT ni engineering hahahhaa WW si umesoma MIAKA 3 tu
Wewe tabla lasa kunasehemu nimesema nimesoma IT.
Btn IT akitaka kuwa engineer anaenda arusha Nelson Mandela kufanya thesis masters of science in information technology and engineering.
Anakuwa engineer wakati huo pia ana masters wewe na diploma yako ya fundi mchundo umeelewa!?
 
Mchawi field.. haingalii umefanya CE, CS au IT
Huyo haelewi chochote angie utumishi aone job description zinataka nini uwe programmers, networking, database administrator zote huko IT anaitwa competence yako tu yeye anakuambia IT ni kufuta vumbi hata NTA lv1 hafuti fumbi tu.
 
Wewe tabla lasa kunasehemu nimesema nimesoma IT.
Btn IT akitaka kuwa engineer anaenda arusha Nelson Mandela kufanya thesis masters of science in information technology and engineering.
Anakuwa engineer wakati huo pia ana masters wewe na diploma yako ya fundi mchundo umeelewa!?
Hahahah nani amekuambia Nina dploma au nikutumie cheti Cha degree yangu ya CS tatizo nyie IT muko local ndyo maaana CS Sisi ndyo kipaumbele
 
Hiyo CS uliyosomea itakuwa ya Zayoni, nenda utumishi hapo uangalie kazi ambazo zinazo mtaja CS tu zimuache IT wewe kichwa panzi,
 
Mbona MATUSI mkuu au ujaelimika
Niko rhino industries hapa achukuliwi
IT kwenye software wako weak sana kulingana na mtaaalam wao wakiwa chuoni , so naongea kiyu ambacho real
 
Kwanza programming ni pation haijalishi umesoma IT, CS wala software engineering. Kibongo bongo hakuna utofauti wa CS wala IT kwenye hiyo mtaala.
Tatu weka GitHub account yako tuone hizo project zako za CS
 
Hahaha kwenye ajira za Watu utamwambia mwajiri kama ulivyosema eti kibongo bongo Amna utofauti ya It na CS hahaha wakati anaitajika CS coz anajua Kuna utofauti kubwa ata ukiende nje ya nchi tena ndyo utaona utofauti MKUBWA kati ya IT na CS
 
Bogus, mwajiri anakupima kwa kile unachokiweza project zako and practical interview nahisi bado uko shule unasoma huelewi chochote kama unajidanganya CS na GPA vitakubeba your wrong hakuna janja janja huku.
 
Back
Top Bottom