Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Uzi murwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
St.joseph university of Tanzania kipo mbezi lugulun iDsm,wako nondo sana kwenye hzi mamboChuo kipi bora kwa CS au CE au IT?
CE haingii kwenye CSSt.joseph university of Tanzania kipo mbezi lugulun iDsm,wako nondo sana kwenye hzi mambo
Kwa kozi hizo 3 ,nashauri mtu kama yuko viziri asome computer engineering, maana huyu anaingia kwenye kazi za IT/IS, au cS
CE ndo baba lao kati ya hizo 3 zilizoongelewa hapo,mtu wa CE anaweza kufanya kazi za mtu wa CS ila mtu wa CS hawezi kufanya kazi zingine za CE,nadhani umeelewaCE haingii kwenye CS
Nadhani haujaelewa somo. Computer Engineering ni tawi la Electronics Engineering, wao hawafahamu kuhusu utendaji kazi wa computer, hawafahamu computing bali wamejikita katika ufundi zaidi. Engineering hujikita kumuandaa mtu kuwa na skills za kujenga / kutengeneza vitu, huko haujitunzi kwa undani namna computer inavyofanya kazi bali unafundishwa components. Kuanzia programming, software n.k haziwahusu. Process za computing zinazoendelea nyuma ya pazia ndizo zinawezesha computer iwe kifaa kamili tunachoweza kukitumia. Computing huhusisha zaidi muunganiko wa hesabu na programming, hivyo computer science ni kama muungano wa programming na hesabu. Unapozungumzia computer unazungumzia Computer Science.CE ndo baba lao kati ya hizo 3 zilizoongelewa hapo,mtu wa CE anaweza kufanya kazi za mtu wa CS ila mtu wa CS hawezi kufanya kazi zingine za CE,nadhani umeelewa
Sawa mkuu, nipo hapa kujifunza na kujua zaidiNadhani haujaelewa somo. Computer Engineering ni tawi la Electronics Engineering, wao hawafahamu kuhusu utendaji kazi wa computer, hawafahamu computing bali wamejikita katika ufundi zaidi. Engineering hujikita kumuandaa mtu kuwa na skills za kujenga / kutengeneza vitu, huko haujitunzi kwa undani namna computer inavyofanya kazi bali unafundishwa components. Kuanzia programming, software n.k haziwahusu. Process za computing zinazoendelea nyuma ya pazia ndizo zinawezesha computer iwe kifaa kamili tunachoweza kukitumia. Computing huhusisha zaidi muunganiko wa hesabu na programming, hivyo computer science ni kama muungano wa programming na hesabu. Unapozungumzia computer unazungumzia Computer Science.
CE hapana mzee tusidanganyane!St.joseph university of Tanzania kipo mbezi lugulun iDsm,wako nondo sana kwenye hzi mambo
Kwa kozi hizo 3 ,nashauri mtu kama yuko viziri asome computer engineering, maana huyu anaingia kwenye kazi za IT/IS, au cS
IT ni engineering hahahhaa WW si umesoma MIAKA 3 tuVyuo vya wenzetu IT ni engineering huyu anasema ni kucopy tu mafile.
Arusha Technical hesabu zote wanazosoma computer science IT anasoma tuletee ushaidi wa ulichokisema.
Wewe tabla lasa kunasehemu nimesema nimesoma IT.IT ni engineering hahahhaa WW si umesoma MIAKA 3 tu
Huyo haelewi chochote angie utumishi aone job description zinataka nini uwe programmers, networking, database administrator zote huko IT anaitwa competence yako tu yeye anakuambia IT ni kufuta vumbi hata NTA lv1 hafuti fumbi tu.Mchawi field.. haingalii umefanya CE, CS au IT
Hahahah nani amekuambia Nina dploma au nikutumie cheti Cha degree yangu ya CS tatizo nyie IT muko local ndyo maaana CS Sisi ndyo kipaumbeleWewe tabla lasa kunasehemu nimesema nimesoma IT.
Btn IT akitaka kuwa engineer anaenda arusha Nelson Mandela kufanya thesis masters of science in information technology and engineering.
Anakuwa engineer wakati huo pia ana masters wewe na diploma yako ya fundi mchundo umeelewa!?
Hiyo CS uliyosomea itakuwa ya Zayoni, nenda utumishi hapo uangalie kazi ambazo zinazo mtaja CS tu zimuache IT wewe kichwa panzi,Hahahah nani amekuambia Nina dploma au nikutumie cheti Cha degree yangu ya CS tatizo nyie IT muko local ndyo maaana CS Sisi ndyo kipaumbele
Mbona MATUSI mkuu au ujaelimikaHiyo CS uliyosomea itakuwa ya Zayoni, nenda utumishi hapo uangalie kazi ambazo zinazo mtaja CS tu zimuache IT wewe kichwa panzi,
Kwanza programming ni pation haijalishi umesoma IT, CS wala software engineering. Kibongo bongo hakuna utofauti wa CS wala IT kwenye hiyo mtaala.Mbona MATUSI mkuu au ujaelimika
Niko rhino industries hapa achukuliwi
IT kwenye software wako weak sana kulingana na mtaaalam wao wakiwa chuoni , so naongea kiyu ambacho real
Hahaha kwenye ajira za Watu utamwambia mwajiri kama ulivyosema eti kibongo bongo Amna utofauti ya It na CS hahaha wakati anaitajika CS coz anajua Kuna utofauti kubwa ata ukiende nje ya nchi tena ndyo utaona utofauti MKUBWA kati ya IT na CSKwanza programming ni pation haijalishi umesoma IT, CS wala software engineering. Kibongo bongo hakuna utofauti wa CS wala IT kwenye hiyo mtaala.
Tatu weka GitHub account yako tuone hizo project zako za CS
Bogus, mwajiri anakupima kwa kile unachokiweza project zako and practical interview nahisi bado uko shule unasoma huelewi chochote kama unajidanganya CS na GPA vitakubeba your wrong hakuna janja janja huku.Hahaha kwenye ajira za Watu utamwambia mwajiri kama ulivyosema eti kibongo bongo Amna utofauti ya It na CS hahaha wakati anaitajika CS coz anajua Kuna utofauti kubwa ata ukiende nje ya nchi tena ndyo utaona utofauti MKUBWA kati ya IT na CS