Uchambuzi wa kipindi cha bao la asubuhi cha leo,ni mujarabu

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
 
Hata wafungwe, labda CAS waamuru ichezwe au Karai na Bodi ya ligi wajiengue ili Bodi mpya ipange tarehe ya mchezo.
NO STEP DOWN~ NO MATCH (DERBY).
 
Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
Hapa umenena kwa majivuno wakiona wanaweza beba kombe bila hiyo mechi watagomea kucheza.
 
Mtu bado anasikiliza Radio.
Tena vipindi vya Ajabu hivyo????

Unavyosikiliza na Unavyo visoma ndivyo unavyokuwa.
 
Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
Tafasiri yake ni nini hasa huu mstari wa mwisho! Kwamba Yanga watakubali kucheza na Simba kama daraja ili wapate point za kuwafanya wawe bingwa kwa kuifunga Simba? Wajaribu waone. Ila ninachokijua mimi ni kwamba hiyo mechi itapangwa, na Yanga asilete timu uwanjani tuone, hasara ni kwake. TFF na Bodi ya ligi hawawezi katu kufanya huo upuuzi wa baadhi ya timu kucheza mechi za ligi pungufu ya timu nyingine halafu mmoja wao awe bingwa, never. Let's wait.
 
Thubutu bodi ya ligi wapange tarehe,hiyo haitatokea,chujua maneno yangu
 
Back
Top Bottom