fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Hata wafungwe, labda CAS waamuru ichezwe au Karai na Bodi ya ligi wajiengue ili Bodi mpya ipange tarehe ya mchezo.Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
Hapa umenena kwa majivuno wakiona wanaweza beba kombe bila hiyo mechi watagomea kucheza.Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
Tafasiri yake ni nini hasa huu mstari wa mwisho! Kwamba Yanga watakubali kucheza na Simba kama daraja ili wapate point za kuwafanya wawe bingwa kwa kuifunga Simba? Wajaribu waone. Ila ninachokijua mimi ni kwamba hiyo mechi itapangwa, na Yanga asilete timu uwanjani tuone, hasara ni kwake. TFF na Bodi ya ligi hawawezi katu kufanya huo upuuzi wa baadhi ya timu kucheza mechi za ligi pungufu ya timu nyingine halafu mmoja wao awe bingwa, never. Let's wait.Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
Thubutu bodi ya ligi wapange tarehe,hiyo haitatokea,chujua maneno yanguTafasiri yake ni nini hasa huu mstari wa mwisho! Kwamba Yanga watakubali kucheza na Simba kama daraja ili wapate point za kuwafanya wawe bingwa kwa kuifunga Simba? Wajaribu waone. Ila ninachokijua mimi ni kwamba hiyo mechi itapangwa, na Yanga asilete timu uwanjani tuone, hasara ni kwake. TFF na Bodi ya ligi hawawezi katu kufanya huo upuuzi wa baadhi ya timu kucheza mechi za ligi pungufu ya timu nyingine halafu mmoja wao awe bingwa, never. Let's wait.
Hata mm hilo jina la kipindi limekera sana. Ni wapi tunalipeleka taifa hili?Sijui ni ubunifu ama ni nini hivi hakuna jina lingine wangeita hicho kipindi.
Bao la asubuhi?
Tanzania ni moja ya nchi za hovyo kabisa