Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu nyingi sana, watu wengi wamekuwa wanalalamika ila naona wanachelea kuliongea, anachokileta Tanzania ni mgawanyiko, wala si vingine.
1. anaitwa IBRAHIM RAHBI Yeye yupo biased 100% kuwapendelea wapalestina, na anasema Hamas sio magaidi. anasema bandari ya Eliet ipo Palestina sio Israel, anaamini kila mtu anaipenda palestina na kila mtu anaichukia israel kama yeye.
2. Yeye anautangazia umma kwamba, Tanzania haiwezi na haijalitangaza kundi la Hamas kama la kigaidi
3. Anasema kwamba, Hamas haitakuja kufa na siku zote anailaumu Israel.
4. Anailaumu UN kukubali kuundwa kwa nchi ya Israel, na anasema ile ardhi ni ya Wapalestina.
Sina shida na maoni yake, kama vile na yeye ambavyo anaweza kuwa hana shida na maoni yangu ambayo ni contrary na anavyoamini, SHIDA YANGU NI PALE ANAPOLIONGEA KWENYE TV.
Hapa Tanzania, usiishi ukifikiri kila mtu anaisapoti Hamas au anaichukia Israel. Unapogusa masuala yanayoweza kuleta hasira kwa watu unakuwa unaigawanya zaidi nchi, na ndio maana hata serikali juzi ilizuia maandamano ya kuunga mkono Hamas kwasababu waliona halina afya.
Yeye anakuja leo anawatangazia watanzania kwamba Tanzania inaisapoti Hamas, mjinga kabisa huyu.