Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chombo cha habari chenyewe ni cha mwarabu, na anayeongea hayo ni ustaadhi swala tano. na anaamini watanzania wote wanashare mawazo yake. kumbe wanamdharau na kumshangaa tu.Kama haiungi mkono,mbona haijakifungia hicho chombo cha habari,
Kama haingi mkono Hamasi mbona imeshindwa kulaani mauji ya watanzania wenzetu.
Kama haiungi mkono mbona.haijuita balozi wa palestina atoe maelezo.
Nadhani yupo sahihi, japo Wewe umeshindwa kumuelewa.
Ulitaka aliongee wapi? Facebook?Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu nyingi sana, watu wengi wamekuwa wanalalamika ila naona wanachelea kuliongea, anachokileta Tanzania ni mgawanyiko, wala si vingine.
1. anaitwa IBRAHIM RAHBI Yeye yupo biased 100% kuwapendelea wapalestina, na anasema Hamas sio magaidi. anasema bandari ya Eliet ipo Palestina sio Israel, anaamini kila mtu anaipenda palestina na kila mtu anaichukia israel kama yeye.
2. Yeye anautangazia umma kwamba, Tanzania haiwezi na haijalitangaza kundi la Hamas kama la kigaidi
3. Anasema kwamba, Hamas haitakuja kufa na siku zote anailaumu Israel.
4. Anailaumu UN kukubali kuundwa kwa nchi ya Israel, na anasema ile ardhi ni ya Wapalestina.
Sina shida na maoni yake, kama vile na yeye ambavyo anaweza kuwa hana shida na maoni yangu ambayo ni contrary na anavyoamini, SHIDA YANGU NI PALE ANAPOLIONGEA KWENYE TV.
Hapa Tanzania, usiishi ukifikiri kila mtu anaisapoti Hamas au anaichukia Israel. Unapogusa masuala yanayoweza kuleta hasira kwa watu unakuwa unaigawanya zaidi nchi, na ndio maana hata serikali juzi ilizuia maandamano ya kuunga mkono Hamas kwasababu waliona halina afya.
Yeye anakuja leo anawatangazia watanzania kwamba Tanzania inaisapoti Hamas, mjinga kabisa huyu.
Si mna tv zenu wekeni huko kwenu kila mtu atumie chombo chake.Mbona tangu zamani Azam wapo hapo kwa ajili ya kusaport dini yao. Azam uwaambii kitu kuhusu uislamu. Tazama filam zao zote za Azam 2, zote wanazitoa huko uarabuni hasa uturuki, tamthilia zimejaa udini dini hadi kero.
akaliongelee nyumbani kwake, msikitini au akiwa na bwanake chumbani kwao. manake anaongea kama mzanzibari.Ulitaka aliongee wapi? Facebook?