Uchambuzi wa kisiasa Azam TV Desemba 18, 2023

chombo cha habari chenyewe ni cha mwarabu, na anayeongea hayo ni ustaadhi swala tano. na anaamini watanzania wote wanashare mawazo yake. kumbe wanamdharau na kumshangaa tu.
 
IBRAHIM RAHBI anaamini kila mtu anaichukia israel, ni kajinga sana kale kambilikimo. cha ajabu, ni mkufunzi kabisa wa chuo cha kiserikali cha Mwalimu Nyerere, na azam wamemng'ang'ania sana kila siku awe anasambaza uongo na sumu za chuki. kwa kufanya anachofanya anafanya wakristo tuamini ni kampeni ya azam chanel ya muislam kusambaza chuki dhidi ya israel ambayo sisi wakristo tunaipenda.
 
Ulitaka aliongee wapi? Facebook?
 
Mbona tangu zamani Azam wapo hapo kwa ajili ya kusaport dini yao. Azam uwaambii kitu kuhusu uislamu. Tazama filam zao zote za Azam 2, zote wanazitoa huko uarabuni hasa uturuki, tamthilia zimejaa udini dini hadi kero.
Si mna tv zenu wekeni huko kwenu kila mtu atumie chombo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…