Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Nitaisoma kesho
Dibaji iko wapi?Dibaji imejaa hekima,maarfa na busara
Sijawahi kusikia Kiongozi wa upinzani ameandika kitabu
Napenda siku moja nisome kitabu cha Mbowe na maalim seif maana huwa tunaambiwa ni askari kanzu
Mbona hajamuelezea Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipomsafirisha kwenda london[emoji3063]
Kwani hakuwa na watoto mstaafu, nimeona tu jina la mke wake na family ya wazee wake
Sidhani kama unajua maana ya Dibaji.Dibaji imejaa hekima,maarfa na busara
Sijawahi kusikia Kiongozi wa upinzani ameandika kitabu
Napenda siku moja nisome kitabu cha Mbowe na maalim seif maana huwa tunaambiwa ni askari kanzu
Hahaaaaa mbowe akitoa kitabu ataishutumu tu serikali
Kitafute kitabu cha Dr Slaa , JINSI CHADEMA ILIVYOSALITIWA 2015 NYUMA YA PAZIA
Hiyo ni summary aliyo ifanya Aaron Arsenal kitabu chenyewe kina zaid ya kurasa 300 so ikikisoma hicho kitabu chote ndio uje ukosoe..hapa umekosoa summary ya Aaron sio kitabu cha MkapaKitabu kina mapungufu mengi mno, uhalisia umefichwa fichwa sana. Mambo mengi yalioelezwa humo ni "UTOPIA" tu.
Kama matumizi yote hayo ni kwa uchache basi Mkandala hajatumika kabisa au ndo maana bwana yule alipaita mlimani JALALANI.Mzee Mkapa ni brain ambayo tumeitumia kwa uchache sana
Sijawahi kusikia Kiongozi wa upinzani ameandika kitabu