Uchambuzi wa kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa "MY LIFE, MY PURPOSE"

Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja

Britannica
 
Britanicca una akili kupindukia. Wengi watapata tabu sana kukuelewa. Na wachache watakaokuelewa watanyamaza kimyaaaaaa, wakiangalia usikute kuna mtu amewaona.
 
Nilikubali kupokea pesa ambazo sizo kwa guarantee ya kupata funds kwa ajili ya kampeni za chama = Chama ni muhimu kwa rais kuliko maslahi ya taifa = uongozi uliopita ulinunulika = uongozi uliopo ni imara na haununuliki = uongozi uliopo ni bora zaidi kuliko uongozi wowote uliopita = uongozi uliopo unastahili kubaki madarakani zaidi kwani unaweka mbele maslahi ya Taifa = uongozi uliopo ni mwiba zaidi kwa wahujumu uchumi hata kuutafuta kwa SUMU = kama wananchi tunatakiwa kuchagua BEST SIDE....

Ndio unachokihofia mleta mada ??...
 
Britanicca una akili kupindukia. Wengi watapata tabu sana kukuelewa. Na wachache watakaokuelewa watanyamaza kimyaaaaaa, wakiangalia usikute kuna mtu amewaona.

Nimeona thread yenye maudhui kama haya, Hayo ni maoni ya nani?
 
Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja

Britannica
Iko wazi sana.Kuna “zaidi ya kitabu” kwenye hiki kitabu.Shida tu ni kwamba wanakoelekea hata sisi ‘watu wa kawaida’ tutaanza kuona kwa uwazi rangi zao halisi
 
Una maswali mengi kwani wewe ni polisi? Hahahaha ukijibiwa nitag!
 
Yeye aliharibu kwa wakati wake lakini ameona mwanafunzi wake anaharibu zaidi akaamua amshauri kwa kupitia kitabu pengine ataelewa...

Japo viongozi wetu wanakuwa na maono ya kweli wakishastaafu..

Hata huyu wa sasa huenda akistaafu akawa zaidi ya malaika.
 
Kitabu hicho kina malengo mazuri tu sema Britanicca una wasiwasi tu.Cha kushukuru ni kwamba awamu ya tano inafanya vizuri na watanzania wengi wana imani nayo hivyo habari za kitabu hakitakuwa na shida yeyote.
 
Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja

Britannica
Kimeandikwa au kutoka sasa?
Inaweza kuwa imechuka miaka kadhaa hadi kitabu kutoka.
 
Hii kauli ya mzee Mkapa imenifurahisha sana kwamba baba yake mzazi alipendelea kijana wake ama awe Padre au Daktari na ikishindikana basi awe mwalimu.

Mzee Mkapa amesema hayo yote hayakuwezekana ila Mungu ni mwema akaja kuwa Rais wa Tanzania.

Maendeleo hayana vyama.
 
Britannica,
Haya ni maswali tunduizi na mtu mwenye kuweza kuyajibu ni Njomba Nkapa mwenyewe na askari wake wa Mwavuli No.1!
Kuna a very hidden agenda hapa…!Kadri watu watakavo kisoma ndivo kadri watakavo gundua nini kimefichwa humo! Ikumbukwe kwamba Mkapa ndie aliyehakikisha Magufuli anateuliwa kuwa Mgombea wa Urahisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015…!Kwanini kitabu hiki hakikutoka wakti wa A4 wakti JK akiwa Ikulu?
Bado najaribu kuwaza kwa sauti kwanini JPM alichomekea kesi yake ya KULISHWA SUMU kwene hadhira ya uzinduzi wa kitabu hiki ilhali alikuwa kimya kwa muda wote huu? Is it a coincidence or pre~planned?
Kuna ghiliba fulani imechezwa hapo kwa ajili ya PROMO ya mtu,kikundi cha watu fulani na chama fulani…!
Kwamba sasa Njomba Nkapa anataka kuona Tume Huru ya Uchaguzi na Fursa Sawa katika kueneza Sera kwa Vyama vote vya siasa!VITU AMBAVYO ASKARI WA MWAVULI HATAKI KUSIKIA…!!
 
Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja

Britannica

Walipanda miba njiani wakidhani haitowachoma,imewachoma wamejiona kumbe nao ni watu kama wengine.
 
Back
Top Bottom