Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
English
Hicho kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza au kiswahili??
Hicho kitabu kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza au kiswahili??
JPM kabisaaa sidhani labda JK.Ni kitabu kizuri na kimejibu hoja nyingi. Natamani JK pia aandike maana najua JPM ataandika. Tukivisoma cha Mkapa, Kikwete na JPM, dozi itakuwa imekamilika
Na wewe itafute hotuba ya Dk Slaa akitamka kuwa akiwa Rais atamfunga jela Dk. John Pombe MagufuliHahaaaaa mbowe akitoa kitabu ataishutumu tu serikali
Kitafute kitabu cha Dr Slaa , JINSI CHADEMA ILIVYOSALITIWA 2015 NYUMA YA PAZIA
We unacho mkuuHahaaaaa mbowe akitoa kitabu ataishutumu tu serikali
Kitafute kitabu cha Dr Slaa , JINSI CHADEMA ILIVYOSALITIWA 2015 NYUMA YA PAZIA
Kwa wewe ambaye umekisoma hicho kitabu cha Mkapa, kuna habari yeyote kuhusiana na KAGODA, KIWIRA n.k humo? Vinginevyo funga bakuli lako.Hiyo ni summary aliyo ifanya Aaron Arsenal kitabu chenyewe kina zaid ya kurasa 300 so ikikisoma hicho kitabu chote ndio uje ukosoe..hapa umekosoa summary ya Aaron sio kitabu cha Mkapa
Labda aliyeenda kukizindua, hajaelewa kilicho andikwa kutokana na lugha iliyotumika.Sasa unataka uwashawishi hao team wenzako mjipange kufanya nini! Kwa hiyo wewe unapingana na huyo mwenyekiti wako JPM aliyeenda kukizindua!!
Kama humjui hata mfadhili wa kitabu hicho na taasisi iliyomshawishi mstaafu mzee Mkapa kuandika kitabu kuhusu maisha yake..... Basi maswali yako yote 13 hayana umuhimu wowote.Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja
Kama humjui hata mfadhili wa kitabu hicho na taasisi iliyomshawishi mstaafu mzee Mkapa kuandika kitabu kuhusu maisha yake..... Basi maswali yako yote 13 hayana umuhimu wowote.
Kwa taarifa yako kitabu cha mstaafu mzee Mwinyi kitazinduliwa hivi karibuni!
Timu yake inamdharau Mwkti wao Taifa kwakua ameenda kwenye uzinduziSasa unataka uwashawishi hao team wenzako mjipange kufanya nini! Kwa hiyo wewe unapingana na huyo mwenyekiti wako JPM aliyeenda kukizindua!!
2.Mwaki-embeKwa kiona Mada kama hii Kuna haja sasa ya humu jf tuanze kusajili walio wahi kunyweshwa sumu wakapona kwa Alana za akili ;-
JINA LA MLISHWA SUMU MTAA
(1) Team Jpm Lumumba
(2)..