Uchambuzi wa kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa "MY LIFE, MY PURPOSE"

Hamnaga jipya zaidi ya propaganda za kila siku za viongozi kujifanya wema wakishaachia madaraka.
Viongozi wa kiafrica huwa na akili mfumo ukishawatupa.Nilifanya tafiti tatizo ni zile saluti,kufunguliwa milango na kupewa ukuu hivi ulaza na kupooufusha akili ukizingatia wengine wametokea kwenye ufukara miaka 50 nyuma
 
Ualimu nikazi duni sana hapa nchini huwezi amino kama inasomewa (professional)...kwa wenzetu inaheshma lkn kwetu tabu tupu. Mbaya zaidi viongozi wanawapuuza na wanapelekeshwa hata na mabalozi was nyumba kumi!! Skuiz hats wanafunzi washawaona walimu ni chokambaya
 
Britannica,
Haya ni maswali tunduizi na mtu mwenye kuweza kuyajibu ni Njomba Nkapa mwenyewe na askari wake wa Mwavuli No.1!
Kuna a very hidden agenda hapa…!Kadri watu watakavo kisoma ndivo kadri watakavo gundua nini kimefichwa humo! Ikumbukwe kwamba Mkapa ndie aliyehakikisha Magufuli anateuliwa kuwa Mgombea wa Urahisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015…!Kwanini kitabu hiki hakikutoka wakti wa A4 wakti JK akiwa Ikulu?
Bado najaribu kuwaza kwa sauti kwanini JPM alichomekea kesi yake ya KULISHWA SUMU kwene hadhira ya uzinduzi wa kitabu hiki ilhali alikuwa kimya kwa muda wote huu? Is it a coincidence or pre~planned?
Kuna ghiliba fulani imechezwa hapo kwa ajili ya PROMO ya mtu,kikundi cha watu fulani na chama fulani…!
Kwamba sasa Njomba Nkapa anataka kuona Tume Huru ya Uchaguzi na Fursa Sawa katika kueneza Sera kwa Vyama vote vya siasa!VITU AMBAVYO ASKARI WA MWAVULI HATAKI KUSIKIA…!!
Tume huru ni kutoitendea haki sisim ni kitu isichotaksikia katu
 
Hivi kitabu hiki mwanzo kilitoka lini?
Maana inaonekana hata hawa wanakijua
IMG_1375.jpg
 
Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja

Britannica
translate in your own thinking
 
Wewe utakua ni binti mdogo kama ni mwanaume ni shoga. Hamna ulichoandika hapo ni udaku tupu
 
Maswali ya kipumbavu sana hayo, yaani mkapa ashindwe kulipia mil 200 kaka gharama za kuandaa na kuchapa kitabu?? Ulitaka kitoke lini?
 
Kitabu cha nani huyo tena? Kimeandikwa kiingereza tu au?
 
Nimefuatilia maudhui ya kitabu cha Mstaafu wetu na kupata dukuduku kwamba kuna ajenda iliyojificha kuhusu lengo na nia ya kitabu hicho kwa Taifa, Chama na Serikali. Nina Maswali 13 ya kukitathmini kitabu hicho kama kinafaa kusambazwa au kupigwa marufuku:
1. Kwanini kitabu hicho kimeandikwa?
2. Kwanini kimeandikwa sasa?
3. Nani kafadhili uandishi na uchapaji wa kitabu hicho?
4. Mfadhili wa kitabu ana maslahi yapi na kitabu hicho?
5. Mhusika mkuu wa kitabu ndiye mwandishi au katumika tu?
6. Anachotamani kuona kikifanyika, hakuwa na njia mbadala ya kushauri tofauti na kutumia kitabu?
7. Maudhui ya kitabu ndio mtazamo wa mstaafu wetu kuhusu chama na serikali au la?
8. Anayotamani kuyaona mstaafu wetu baada ya kustaafu alishindwaje kuyatekeleza akiwa madarakani?
9. Tofauti na maandishi ya kitabuni, mstaafu wetu ana mikakati IPI kufikia matamanio yake kwa Taifa?
10. Mstaafu wetu anashauri mabadiliko au anatubu kwa kutowezesha mabadiliko hayo?.
11. Ni IPI hadhira iliyolengwa katika maudhui ya kitabu hicho?. a)Kama ni watanzania kwanini hakikuandikwa kwa kiswahili?
b) kama ni mabeberu, kwanini?
12. Je, Kitabu hicho kinalijenga Taifa au kulibomoa?
13. je, Maudhui ya kitabu hicho yalifaa kwa Dunia nzima au kwa kundi maalumu?
Karibuni Tutafakari pamoja
Namsifu Mzee Mkapa kwa kuanzisha njia. Tunahitaji haya maandishi hata kama yanauzi kweli kweli. Tujifunze dhamana ya uongozi ni pamoja na kuwajibika kulisaidia Taifa liendelee kukua na kusonga mbele.
Yes, makosa yaliyofanyika huko nyuma, hasa mambo ya rushwa, kusema kweli yanakera sana. Tuache tabia ovu zinazoweza kusababisha Taifa likaingia kwenye matatizo sababu ya kukosa uongozi imara.
 
Hii kauli ya mzee Mkapa imenifurahisha sana kwamba baba yake mzazi alipendelea kijana wake ama awe Padre au Daktari na ikishindikana basi awe mwalimu.

Mzee Mkapa amesema hayo yote hayakuwezekana ila Mungu ni mwema akaja kuwa Rais wa Tanzania.

Maendeleo hayana vyama.

Sir Andy Chande angekuwa hai lazima anacheka kweli kweli
 
Hii kauli ya mzee Mkapa imenifurahisha sana kwamba baba yake mzazi alipendelea kijana wake ama awe Padre au Daktari na ikishindikana basi awe mwalimu.

Mzee Mkapa amesema hayo yote hayakuwezekana ila Mungu ni mwema akaja kuwa Rais wa Tanzania.

Maendeleo hayana vyama.
Kumbe ndio maana mzee wa watu hakuwahi kuoa
 
Kwakweli nilipokisoma nilipata hasira sana,
eti anataka tume huru ya uchaguzi ili iweje sasa?
Eti wapinzani washiriki kuhesabu kura,thubutu,kwani yanawahusu?,

hawa wastaafu watulie wale mafao ama la........
 
Back
Top Bottom