Uchambuzi wa kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa "MY LIFE, MY PURPOSE"

Maashallah busara na weledi wa kiwango cha lamii umetumika ktk uchambuzi huu
 
bunch of crap...

hakuna alichokisema ambacho hatutukijua...
 
Dibaji imejaa hekima,maarfa na busara

Sijawahi kusikia Kiongozi wa upinzani ameandika kitabu

Napenda siku moja nisome kitabu cha Mbowe na maalim seif maana huwa tunaambiwa ni askari kanzu
Sidhani kama unajua maana ya Dibaji.
Unasema hujawahi kuona vitabu vya wapinzani, wewe kweli ni mpapai wa kiume hufai hata kua gogo la choo. Kweli hujawahi kuona vitabu alivyoamdika Profesa Ibrahim Lipumba ? Umekulia wapi?
 
Wasoma vitabu mtasifia sanaa, mwisho wangu was kusoma kitabu an kukipenda kilikua ni TAKADINI
 
Dr slaa njaa na umaskini vunamtesa.. kwa umri ule hakutakiwa kutumqa tumwa na meko. Mbowe ni tajiri.
Hahaaaaa mbowe akitoa kitabu ataishutumu tu serikali

Kitafute kitabu cha Dr Slaa , JINSI CHADEMA ILIVYOSALITIWA 2015 NYUMA YA PAZIA
 
Kitabu kina mapungufu mengi mno, uhalisia umefichwa fichwa sana. Mambo mengi yalioelezwa humo ni "UTOPIA" tu.
Hiyo ni summary aliyo ifanya Aaron Arsenal kitabu chenyewe kina zaid ya kurasa 300 so ikikisoma hicho kitabu chote ndio uje ukosoe..hapa umekosoa summary ya Aaron sio kitabu cha Mkapa
 
Dan Zwangendaba, Hii memour imejaa porojo na commentary,haiwezi kuitwa historia maana haijapikwa na kupakuliwa na mwana historia ,hii ni sawa tu na KULI ya Shafi A.Shafi.Kuna utaalamu na umahiri wa lugha na kunyenyekea ili kuvuta sympathy.
 
Sijawahi kusikia Kiongozi wa upinzani ameandika kitabu
 
Hicho kitabu kinapatikana wapi?
Ne bei yake inakwendaje???

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…