NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 08/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
β
KAAβ CANCER π¦ (Juni 21β Julai 22)
jumanne hii ni nzuri kwako ingawa unatakiwa uwe makini kweli kweli kwa maana marafiki wa karibu au watu unaowaamini wanaonekana kukugeuka kila wamati na kusahau maagano mnayo agana katika mambo yenu ya kibiashara kwa ujumla unashauriwa usipende kumuamini mtu moja kwa moja kwani huenda ikawa tatizo kwako.
β’Safari zako sio nzuri zina mashaka mashaka na uzito mwingi hofu itakuandama katika safari hiyo lakini utafika salama.
β
SIMBA LEO π¦ (Julai 23β Agosti 22)
jumanne hii tegemea mambo mazuri katika biashara zako au kazi zako ingawa umekuwa mtu wa kukwama kila wakati lakini jumanne hii jaribu muomba mungu unaweza kuipata bahati usio itegemea.
β’Utapata habari nzuri sana leo na itakuwa siku ya bahati kwa upande wako mambo mengi yanaonekana yatakuendea vizuri.
β
MASHUKEβ VIRGO β (Agosti 23β September 23)
Kama una homa au mafua au tumbo au kichwa kinauma basi kitazidi leo na kama haviumi basi vitakuuma leo jitahidi uzingatie ushauri wa daktari au wa kiafya.
β’Inawezekana ulikuwa hujielewi katika upande wa mapenzi maana mpaka sasa wapenzi wengi wamekukimbia na huenda tatizo bado hujalijuwa jumanne hii ni nzuri kwako unaweza kutafakari ili kujuwa ni jinsi gani unaweza kuondowa matatizo ulio nayo katika mahusiano ya kimapenzi ili usiendelee kupoteza bahati zingine zilizopo mbele yako.
β
MIZANIβ LIBRA βοΈ (September 24β Oktoba 23)
jumanne hii fuatilia ahadi ulizopewa na watu fulani au kampuni fulani pia unashauriwa kufuata ushauri unaopewa na watu wako wa karibu jinsi ya kuweza kuendesha maisha yako usidharau ushauri unaweza ukakufanya sehemu kubwa ufanikiwe ingawa pi unatakiwa ufanye dua nyingi.
β’Huwa unapuuza sana shida zinapotokea na matokeo halisi ni kwamba bado unakabiliwa na shida zile zile tena.
β
NG'Eβ SCORPION π¦ (Oktoba 24β November 21)
jumanne hii sio mbaya kwako ingawa wakati mwingine umetawaliwa na wimbi la mawazo lakini jumanne hii tegemea mambo mazuri na huenda ukapata habari njema itakayo ufurahisha moyo wako.
β’Endelea kuwa mwaminifu kwa mienendo yako mwenyewe na usiruhusu maneno au maoni ya watu wengine yakudanganye ubadilishe mawazo wako.
β
MSHALEβ SAGITTARIUS πΉ (November 22β December 21)
jumanne hii ni nzuri kwako ingawa umekuwa mtu uliekata tamaa ya kutokufanikiwa lakini hebu jaribu kufanya lile jambo ambalo unahisi kuna nafuu fulani unaipata usiwe unapenda kusita sita unapotaka kufanya jambo fulani kwani ukuendelea kufanya hivyo huenda ukaendelea kujiwekea vikwazo vingi katika mambo yako.
β’Mahusiano yako leo yatakuwa ya vurugu za hapa na pale stahmili na usijibizane nae.
β
MBUZIβ CAPRICORN π (December 22β January 20)
jumanne hii tegemea kufanikiwa mambo yako fulani ambayo umeahidiwa kutoka kwa mtu fulani ingawa umekuwa ukidanganywa sana lakini upepo wa wiki hii umekukalia vyema jaribu kuomba mungu sana huenda ukapata bahati usio itegemea.
β’Mahusiano yako yapo vizuri na utapata furaha zaidi.
Safari zako ni nzuri sana.
β
NDOOβ AQUARIUS πΊ (January 21β February 19)
Usiwe na khofu sana kwakuwa nyota yako inaonyesha mengi unayo yapanga katika mahusiano yako ya kimapenzi yatafanikiwa ingawa umekuwa na vikwazo vingi lakini haitakuwa tatizo kwako.
β’Kazi zako zitaenda vizuri na utafanikiwa mipango yako ya kikazi au biashara na maadui zako hawana nguvu tena na ubaya wao umerejea kwao.
β
SAMAKIβ PISCES π (February 20β March 20)
Huenda ikawa maamuzi ulio nayo katika upande wa mapenzi ni maamuzi mazuri tena ya kishujaa vizuri usiangalie nyuma kwani unapotakiwa kufanya maamuzi fulani katika jambo fulani linalohusiana na mahusiano yako ya kimapenzi usipende kusikiliza fulani kasema nini na anataka nini ukifanya hivyo utakuwa mtu wa kukwama kila siku.
β’Utapata furaha leo na habari njema sana itakufikia leo na haja zako nyingi zitatimia.
β
PUNDAβ ARIES π (March 21β Aprili 20)
jumanne hii sio mbaya kwako ingawa una madeni mengi unaweza kupata fedha usio itarajia lakini wenye madai kwako wanaweza kukuandama usipokuwa makini jitahidi kujiweka mbali nao huku ukifanya mipango ya kupunguza madeni ulio nayo ili uweze kuidumisha furaha yako.
β’Mahusiano yako leo yatakuwa na taswira mpya iliyokuwa nzuri zaidi kwako na utapata marafiki wapya na utakumbukwa na watu wako wa siku nyingi.
β
NG'OMBEβ TAURUS π (Aprili 21β May 20)
Huenda unalizwa sana na mapenzi lakini jaribu kuvumilia huenda mpenzi mpya anae kufuatilia anae kuhitaji kama unaweza kumpa nafasi huenda akakuondolea machungu ulio nayo kwani anaonekana ni mkweli na muaminifu kwako ingawa ni mtu wa kubadilika badilika kila wakati.
β’Safari zako ni nzuri jihadhari na udanganyifu na usiwaamini watu usiowafahamu.
β
MAPACHAβ GEMINI β (May 21β Juni 20)
Mapenzi kwako ni mazuri ingawa zipo changamoto za hapa na pale lakini utafikia malengo unayo yapanga juu ya mahusiano yako ya kimapenzi uvumilivu na subra unahitajika kwakuwa ndio ngao yako jaribu kuwa na furaha kila wakati ili uweze kukamilisha mipango ulio nayo huku ukiwa na furaha zaidi.
β’Utapata maudhi leo na maadui zako wanaonekana kuwa karibu zaidi leo na mipango yako hivyo vizuri kuongeza usiri zaidi na kama ulipanga kukutana na mtu leo badilisha mpango angalia wakati mwingine inaonekana dalili mbaya zaidi kwako linaweza kukuvaa janga au mkosi kwa namna ya ajabu sana.
β
β
β
β
β
β
β
β
β
β
β
β
β
β
β
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA πβ οΈ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.