Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Huko Lumumba kwa kina mwashambwa walishikwa na matumbo ya uharo baada ya kuitazama press hii
Mambo yao ya CCM wayamalize huko huko CCM, mbona CDM nao walimaliza mambo yao huko huko CDM na Mbowe akajikuta yuko njeHayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa. Hakuna siri, kuanzia wanaharakati, makada wa CCM, wapinzani, maafisa waandamizi serikalini , raia wa kawaida na kwenye vyombo vya dola walikuwa busy kusikia neno kwa neno. Huenda matukio mawili yaliyotangulia kabla (kujiuzuru kwako ubalozi na kutekwa kwa dada yake) yanaweza kuwa ni sababu iliyochangia kuvuta hisia za watu wengi kutaka kumsikiliza leo.
Jambo la pili, kila mtu aliyemfuatilia leo Polepole atakuwa amemjua vyema kabisa Polepole ni mtu wa namna gani, ametoka wapi na anaelekea wapi na kipi anakisimamia. Kwa ujumla, bila shaka ameeleweka vyema kama ni mtu mwenye historia ya kisiasa yenye mizizi iliyochimbika ndani sana katika CCM na Serikali, na mtu aliyepita viunga vyote muhimu vya juu zaidi vya madaraka, utawala, maamuzi na mikakati ndani ya serikali na CCM, huku akifanikiwa kufanya kazi kwa karibu kabisa na marais watatu, ikiwemo Kikwete, Magufuli na Samia tena katika majukumu yenye viapo vya kisheria vya kutunza siri milele.
Jambo la tatu, Press ya Polepole imefungua mambo mengi kuhusu mwenendo ndani ya Serikali na ndani ya CCM chini ya utawala wa Samia, na Polepole ametufumbua haya;
1. Kwa sasa taifa ni kama halina kiongozi mkuu rasmi (aliyopo ni kivuli??)
2. Wahuni wameshika hatamu ya nchi na CCM huku wakiwa na nguvu na ujasiri wa kufanya chochote bila aibu wala kizuizi.
3. Mambo ya nchi hayaendi sawa karibu kila mahali tangu Samia kushika madaraka. Kwa sababu ya viapo hawezi kusema kufunguka zaidi au kusema kila kitu.
4. Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kugombea urais 2025 ni batili kwa 100%, lakini CCM bado kwa sasa inayo bado nafasi kuufuta ili kufungua mchakato mpya ambao utatoa fursa kwa wanaCCM wengine kuomba kugombea.
5. Ufisadi ndani ya serikali ni mkubwa kupita maelezo na hakuna juhudi zozote kuudhibiti.
6. Desturi rasmi ya siri ndani ya CCM hairuhusu baadhi ya watu kupewa nafasi ya kugombea urais (Waziri mkuu, Spika, Makamu wa rais).
7. Waliomteka dada yake ni wale wale wahuni anaopingana nao, mtandao wao anaufahamu, atapambana kisiasa kuuangamiza.
8. Anachokipigania amewahi kuwashirikisha watu muhimu (akiwemo waziri wa mambo ya nje, waziri mkuu, naibu waziri mkuu, makamu wa rais, wanaCCM wengine waandamizi) lakini walishindwa (wamesita? Kuogopa?) kuchukua hatua.
9. Harakati zake za kupingana na huu mfumo mbovu wa sasa zimewahi kumpelekea kuitwa kujieleza katika kamati za wabunge wa CCM, Kamati za nidhamu ndani ya CCM na kuonywa mara kadhaa na Ndugai kuwa huenda zikagharimu maisha yake!
10. Wapo viongozi wanaCCM waandamizi na maafisa wa juu wa serikali wakiwemo mabalozi kadhaa ambao kimya kimya wanamuunga mkono huku nao wakitaka mabadiliko muhimu ya kimfumo yafanyike ndani ya CCM na serikali.
Ni hayo tu kwa sasa.
Rafiki umemsikiliza wap? Mie nahangaiks hadi sasa holaAsante sana. Kama mtu hajamsikiliza basi utakuwa umemfanyia summary vizuri sana.
How bro .dadavua twende sawa mi slolenaSijui kwanini aliamua kuwa mpumbavu at the first place
Na yeye amesahau chamtema kuni kinamsubiri Cha wakati akiwa na jpmKanifurahisha na kunipa matumaini aliposema siku inakuja, watendaji na viongozi watakiona cha mrema kuni.
Tusubiri hiyo siku ifike
Hapo Umeniacha mkuu, Sasha au nani?Sijui kwanini aliamua kuwa mpumbavu at the first place
Ohoo. My dear, alikuwa live facebook. Na mawasiliano yalikuwa mazuri mpaka ilipofika wakati wa maswali wahuni wakakata. Ila ni suala la muda tu zitajaa kila sehemuRafiki umemsikiliza wap? Mie nahangaiks hadi sasa hola
Ni kwamba wahuni wanatumia uwepo wa "Paskali" kufanya mambo Yao. Na sio kuendeleza nchi, au ktk kivuli cha kufanya vitu Kwa ajili ya nchi, ni wao kuchukua Chao mapema.Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa. Hakuna siri, kuanzia wanaharakati, makada wa CCM, wapinzani, maafisa waandamizi serikalini , raia wa kawaida na kwenye vyombo vya dola walikuwa busy kusikia neno kwa neno. Huenda matukio mawili yaliyotangulia kabla (kujiuzuru kwako ubalozi na kutekwa kwa dada yake) yanaweza kuwa ni sababu iliyochangia kuvuta hisia za watu wengi kutaka kumsikiliza leo.
Jambo la pili, kila mtu aliyemfuatilia leo Polepole atakuwa amemjua vyema kabisa Polepole ni mtu wa namna gani, ametoka wapi na anaelekea wapi na kipi anakisimamia. Kwa ujumla, bila shaka ameeleweka vyema kama ni mtu mwenye historia ya kisiasa yenye mizizi iliyochimbika ndani sana katika CCM na Serikali, na mtu aliyepita viunga vyote muhimu vya juu zaidi vya madaraka, utawala, maamuzi na mikakati ndani ya serikali na CCM, huku akifanikiwa kufanya kazi kwa karibu kabisa na marais watatu, ikiwemo Kikwete, Magufuli na Samia tena katika majukumu yenye viapo vya kisheria vya kutunza siri milele.
Jambo la tatu, Press ya Polepole imefungua mambo mengi kuhusu mwenendo ndani ya Serikali na ndani ya CCM chini ya utawala wa Samia, na Polepole ametufumbua haya;
1. Kwa sasa taifa ni kama halina kiongozi mkuu rasmi (aliyopo ni kivuli??)
2. Wahuni wameshika hatamu ya nchi na CCM huku wakiwa na nguvu na ujasiri wa kufanya chochote bila aibu wala kizuizi.
3. Mambo ya nchi hayaendi sawa karibu kila mahali tangu Samia kushika madaraka. Kwa sababu ya viapo hawezi kusema kufunguka zaidi au kusema kila kitu.
4. Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kugombea urais 2025 ni batili kwa 100%, lakini CCM bado kwa sasa inayo bado nafasi kuufuta ili kufungua mchakato mpya ambao utatoa fursa kwa wanaCCM wengine kuomba kugombea.
5. Ufisadi ndani ya serikali ni mkubwa kupita maelezo na hakuna juhudi zozote kuudhibiti.
6. Desturi rasmi ya siri ndani ya CCM hairuhusu baadhi ya watu kupewa nafasi ya kugombea urais (Waziri mkuu, Spika, Makamu wa rais).
7. Waliomteka dada yake ni wale wale wahuni anaopingana nao, mtandao wao anaufahamu, atapambana kisiasa kuuangamiza.
8. Anachokipigania amewahi kuwashirikisha watu muhimu (akiwemo waziri wa mambo ya nje, waziri mkuu, naibu waziri mkuu, makamu wa rais, wanaCCM wengine waandamizi) lakini walishindwa (wamesita? Kuogopa?) kuchukua hatua.
9. Harakati zake za kupingana na huu mfumo mbovu wa sasa zimewahi kumpelekea kuitwa kujieleza katika kamati za wabunge wa CCM, Kamati za nidhamu ndani ya CCM na kuonywa mara kadhaa na Ndugai kuwa huenda zikagharimu maisha yake!
10. Wapo viongozi wanaCCM waandamizi na maafisa wa juu wa serikali wakiwemo mabalozi kadhaa ambao kimya kimya wanamuunga mkono huku nao wakitaka mabadiliko muhimu ya kimfumo yafanyike ndani ya CCM na serikali.
Ni hayo tu kwa sasa.
HafreyHapo Umeniacha mkuu, Sasha au nani?
Kwa hiyo Ccm na serikali vimetekwa na wahuni?.....yaani wahuni wana nguvu kuliko serikali yenye Dola?...maajabu haya..Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa. Hakuna siri, kuanzia wanaharakati, makada wa CCM, wapinzani, maafisa waandamizi serikalini , raia wa kawaida na kwenye vyombo vya dola walikuwa busy kusikia neno kwa neno. Huenda matukio mawili yaliyotangulia kabla (kujiuzuru kwako ubalozi na kutekwa kwa dada yake) yanaweza kuwa ni sababu iliyochangia kuvuta hisia za watu wengi kutaka kumsikiliza leo.
Jambo la pili, kila mtu aliyemfuatilia leo Polepole atakuwa amemjua vyema kabisa Polepole ni mtu wa namna gani, ametoka wapi na anaelekea wapi na kipi anakisimamia. Kwa ujumla, bila shaka ameeleweka vyema kama ni mtu mwenye historia ya kisiasa yenye mizizi iliyochimbika ndani sana katika CCM na Serikali, na mtu aliyepita viunga vyote muhimu vya juu zaidi vya madaraka, utawala, maamuzi na mikakati ndani ya serikali na CCM, huku akifanikiwa kufanya kazi kwa karibu kabisa na marais watatu, ikiwemo Kikwete, Magufuli na Samia tena katika majukumu yenye viapo vya kisheria vya kutunza siri milele.
Jambo la tatu, Press ya Polepole imefungua mambo mengi kuhusu mwenendo ndani ya Serikali na ndani ya CCM chini ya utawala wa Samia, na Polepole ametufumbua haya;
1. Kwa sasa taifa ni kama halina kiongozi mkuu rasmi (aliyopo ni kivuli??)
2. Wahuni wameshika hatamu ya nchi na CCM huku wakiwa na nguvu na ujasiri wa kufanya chochote bila aibu wala kizuizi.
3. Mambo ya nchi hayaendi sawa karibu kila mahali tangu Samia kushika madaraka. Kwa sababu ya viapo hawezi kusema kufunguka zaidi au kusema kila kitu.
4. Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kugombea urais 2025 ni batili kwa 100%, lakini CCM bado kwa sasa inayo bado nafasi kuufuta ili kufungua mchakato mpya ambao utatoa fursa kwa wanaCCM wengine kuomba kugombea.
5. Ufisadi ndani ya serikali ni mkubwa kupita maelezo na hakuna juhudi zozote kuudhibiti.
6. Desturi rasmi ya siri ndani ya CCM hairuhusu baadhi ya watu kupewa nafasi ya kugombea urais (Waziri mkuu, Spika, Makamu wa rais).
7. Waliomteka dada yake ni wale wale wahuni anaopingana nao, mtandao wao anaufahamu, atapambana kisiasa kuuangamiza.
8. Anachokipigania amewahi kuwashirikisha watu muhimu (akiwemo waziri wa mambo ya nje, waziri mkuu, naibu waziri mkuu, makamu wa rais, wanaCCM wengine waandamizi) lakini walishindwa (wamesita? Kuogopa?) kuchukua hatua.
9. Harakati zake za kupingana na huu mfumo mbovu wa sasa zimewahi kumpelekea kuitwa kujieleza katika kamati za wabunge wa CCM, Kamati za nidhamu ndani ya CCM na kuonywa mara kadhaa na Ndugai kuwa huenda zikagharimu maisha yake!
10. Wapo viongozi wanaCCM waandamizi na maafisa wa juu wa serikali wakiwemo mabalozi kadhaa ambao kimya kimya wanamuunga mkono huku nao wakitaka mabadiliko muhimu ya kimfumo yafanyike ndani ya CCM na serikali.
Ni hayo tu kwa sasa.
Ni mpumbavu all the way ..Sijui kwanini aliamua kuwa mpumbavu at the first place
Mzee Pascal Mayalla anasemaga huyu Mr slow slow anaona mbali....hebu tuone kama kweli hiyo siku itatokea.Kanifurahisha na kunipa matumaini aliposema siku inakuja, watendaji na viongozi watakiona cha mrema kuni.
Tusubiri hiyo siku ifike
Ila ana kituNi mpumbavu all the way ..
In fact CCM wotee
Pia alingusia kuhusu mwana Ccm mzee Malisa alivyo hoji kuhusu uhuni uliofanywa Dodoma Kikwete kuondoka na mpira kwapani, hakutendewa haki kufukuzwa chama, kwa sababu Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, " hoja hupingwa kwa hoja"Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa. Hakuna siri, kuanzia wanaharakati, makada wa CCM, wapinzani, maafisa waandamizi serikalini , raia wa kawaida na kwenye vyombo vya dola walikuwa busy kusikia neno kwa neno. Huenda matukio mawili yaliyotangulia kabla (kujiuzuru kwako ubalozi na kutekwa kwa dada yake) yanaweza kuwa ni sababu iliyochangia kuvuta hisia za watu wengi kutaka kumsikiliza leo.
Jambo la pili, kila mtu aliyemfuatilia leo Polepole atakuwa amemjua vyema kabisa Polepole ni mtu wa namna gani, ametoka wapi na anaelekea wapi na kipi anakisimamia. Kwa ujumla, bila shaka ameeleweka vyema kama ni mtu mwenye historia ya kisiasa yenye mizizi iliyochimbika ndani sana katika CCM na Serikali, na mtu aliyepita viunga vyote muhimu vya juu zaidi vya madaraka, utawala, maamuzi na mikakati ndani ya serikali na CCM, huku akifanikiwa kufanya kazi kwa karibu kabisa na marais watatu, ikiwemo Kikwete, Magufuli na Samia tena katika majukumu yenye viapo vya kisheria vya kutunza siri milele.
Jambo la tatu, Press ya Polepole imefungua mambo mengi kuhusu mwenendo ndani ya Serikali na ndani ya CCM chini ya utawala wa Samia, na Polepole ametufumbua haya;
1. Kwa sasa taifa ni kama halina kiongozi mkuu rasmi (aliyopo ni kivuli??)
2. Wahuni wameshika hatamu ya nchi na CCM huku wakiwa na nguvu na ujasiri wa kufanya chochote bila aibu wala kizuizi.
3. Mambo ya nchi hayaendi sawa karibu kila mahali tangu Samia kushika madaraka. Kwa sababu ya viapo hawezi kusema kufunguka zaidi au kusema kila kitu.
4. Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kugombea urais 2025 ni batili kwa 100%, lakini CCM bado kwa sasa inayo bado nafasi kuufuta ili kufungua mchakato mpya ambao utatoa fursa kwa wanaCCM wengine kuomba kugombea.
5. Ufisadi ndani ya serikali ni mkubwa kupita maelezo na hakuna juhudi zozote kuudhibiti.
6. Desturi rasmi ya siri ndani ya CCM hairuhusu baadhi ya watu kupewa nafasi ya kugombea urais (Waziri mkuu, Spika, Makamu wa rais).
7. Waliomteka dada yake ni wale wale wahuni anaopingana nao, mtandao wao anaufahamu, atapambana kisiasa kuuangamiza.
8. Anachokipigania amewahi kuwashirikisha watu muhimu (akiwemo waziri wa mambo ya nje, waziri mkuu, naibu waziri mkuu, makamu wa rais, wanaCCM wengine waandamizi) lakini walishindwa (wamesita? Kuogopa?) kuchukua hatua.
9. Harakati zake za kupingana na huu mfumo mbovu wa sasa zimewahi kumpelekea kuitwa kujieleza katika kamati za wabunge wa CCM, Kamati za nidhamu ndani ya CCM na kuonywa mara kadhaa na Ndugai kuwa huenda zikagharimu maisha yake!
10. Wapo viongozi wanaCCM waandamizi na maafisa wa juu wa serikali wakiwemo mabalozi kadhaa ambao kimya kimya wanamuunga mkono huku nao wakitaka mabadiliko muhimu ya kimfumo yafanyike ndani ya CCM na serikali.
Ni hayo tu kwa sasa.
Kwa hiyo lila mtu anaogopa? Kuanzia wakubwa hadi wadogo? Sasa hao wakubwa na wao wnaamwogopa nani?Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.

Hana chochote bro...Ila ana kituView attachment 3410172