Haiko mbali.Mzee Pascal Mayalla anasemaga huyu Mr slow slow anaona mbali....hebu tuone kama kweli hiyo siku itatokea.
NjaaSijui kwanini aliamua kuwa mpumbavu at the first place
Kwenye number moja Mama mwenyewe alikiri siku ya ufunguzi wa hema la mwamposa kuwa ana bosi wake.kwahiyo kiongozi anajulikana.Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa. Hakuna siri, kuanzia wanaharakati, makada wa CCM, wapinzani, maafisa waandamizi serikalini , raia wa kawaida na kwenye vyombo vya dola walikuwa busy kusikia neno kwa neno. Huenda matukio mawili yaliyotangulia kabla (kujiuzuru kwako ubalozi na kutekwa kwa dada yake) yanaweza kuwa ni sababu iliyochangia kuvuta hisia za watu wengi kutaka kumsikiliza leo.
Jambo la pili, kila mtu aliyemfuatilia leo Polepole atakuwa amemjua vyema kabisa Polepole ni mtu wa namna gani, ametoka wapi na anaelekea wapi na kipi anakisimamia. Kwa ujumla, bila shaka ameeleweka vyema kama ni mtu mwenye historia ya kisiasa yenye mizizi iliyochimbika ndani sana katika CCM na Serikali, na mtu aliyepita viunga vyote muhimu vya juu zaidi vya madaraka, utawala, maamuzi na mikakati ndani ya serikali na CCM, huku akifanikiwa kufanya kazi kwa karibu kabisa na marais watatu, ikiwemo Kikwete, Magufuli na Samia tena katika majukumu yenye viapo vya kisheria vya kutunza siri milele.
Jambo la tatu, Press ya Polepole imefungua mambo mengi kuhusu mwenendo ndani ya Serikali na ndani ya CCM chini ya utawala wa Samia, na Polepole ametufumbua haya;
1. Kwa sasa taifa ni kama halina kiongozi mkuu rasmi (aliyopo ni kivuli??)
2. Wahuni wameshika hatamu ya nchi na CCM huku wakiwa na nguvu na ujasiri wa kufanya chochote bila aibu wala kizuizi.
3. Mambo ya nchi hayaendi sawa karibu kila mahali tangu Samia kushika madaraka. Kwa sababu ya viapo hawezi kusema kufunguka zaidi au kusema kila kitu.
4. Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kugombea urais 2025 ni batili kwa 100%, lakini CCM bado kwa sasa inayo bado nafasi kuufuta ili kufungua mchakato mpya ambao utatoa fursa kwa wanaCCM wengine kuomba kugombea.
5. Ufisadi ndani ya serikali ni mkubwa kupita maelezo na hakuna juhudi zozote kuudhibiti.
6. Desturi rasmi ya siri ndani ya CCM hairuhusu baadhi ya watu kupewa nafasi ya kugombea urais (Waziri mkuu, Spika, Makamu wa rais).
7. Waliomteka dada yake ni wale wale wahuni anaopingana nao, mtandao wao anaufahamu, atapambana kisiasa kuuangamiza.
8. Anachokipigania amewahi kuwashirikisha watu muhimu (akiwemo waziri wa mambo ya nje, waziri mkuu, naibu waziri mkuu, makamu wa rais, wanaCCM wengine waandamizi) lakini walishindwa (wamesita? Kuogopa?) kuchukua hatua.
9. Harakati zake za kupingana na huu mfumo mbovu wa sasa zimewahi kumpelekea kuitwa kujieleza katika kamati za wabunge wa CCM, Kamati za nidhamu ndani ya CCM na kuonywa mara kadhaa na Ndugai kuwa huenda zikagharimu maisha yake!
10. Wapo viongozi wanaCCM waandamizi na maafisa wa juu wa serikali wakiwemo mabalozi kadhaa ambao kimya kimya wanamuunga mkono huku nao wakitaka mabadiliko muhimu ya kimfumo yafanyike ndani ya CCM na serikali.
Ni hayo tu kwa sasa.
Nimeziona usiku YouTube.. Polepole toto tundu aise ..najiskia hasira kumbe katiba yao hairuhusu bibi kipepe kugombea...pumbafu Samia..Ohoo. My dear, alikuwa live facebook. Na mawasiliano yalikuwa mazuri mpaka ilipofika wakati wa maswali wahuni wakakata. Ila ni suala la muda tu zitajaa kila sehemu
Tukikubali imekula kwetu...hii NRNE ishakua movement ya woote sio chadema tu hadi makijaniIla JK jau sana, Kwa hiyo tunaenda kwenye mateso ya miaka mitano tena Mungu tuhurumie tumekukosea nini
Mkuu usibeze au kudunisha elimu ya chini au nafasi ya chini ya mtu. Maana hakuna chuo kinachofundisha urais. Pia shida hapa ni usimamizi, udhubutu, mtazamo na nia ya kuleta mabadiliko.kutoka usecretari hadi urais mchezo
👀🤨🤔kutoka usecretari hadi urais mchezo
🤣 🤣 🤣 🔊Huyu Jakaya bado anaamini mambo hayajaharibika sana?
Indonesha hujui chochote umuhimu wa elimu katika uongozi ,japo uongozi ni inbornMkuu usibeze au kudunisha elimu ya chini au nafasi ya chini ya mtu. Maana hakuna chuo kinachofundisha urais. Pia shida hapa ni usimamizi, udhubutu, mtazamo na nia ya kuleta mabadiliko.
Nguvu kubwa inayo tumika kukandamiza wa wapinzani na washindani ndani na nje ya chama na serikali ingalitumika kwa asilimia 25% kusimamia katiba, mipango na maendeleo ya raia na nchi tungalipiga hatua kubwa sana!!
Tunaona mwanga sasa baada ya serikali iliyokosa dira. Vitsho.watu kuuliwa.kuteswa.kutekwa sababu raisi mama wa kinzabari asisemeshwe hatakiwi kukosolewa hii kwa mujibu wa wapiga dili za nchi hii kina familia ya msoga, lugumi na mtandao wa nyuma yao kina makonda...wahuni wengi ccm na serikali . Polepole na wengine tuendelee kuhoji uhuni wa wazi wazi unaoendelezwa na Mzee wa msoga mzee ambaye maisha yake ni kinjama njama tu. Hii tabia ya kutupangia viongozi wa nchi kwa hila aliionyesha hata 2015 alipokuja na majina yake matano mfukoni ila kilichotokea kundi lowassa wakapiga chini majina membe.januari.rose migiro . Yule mama amina wa zenji wakampa magufuli ambaye hakuwa mlengwa akasababisha chama kutaka kumeguka usiku ule.....sasa amenogewa na katabia aka hadi siku za mzee wake......anaona ccm ni yake iishi kwenye uhuni wake....ALICHOKIFANYA DODOMA KULETA MAELEKEZO YA KUMPITISHA SAMIA HAIKUWA SAHIHI, ALITUMWA NA NANI NJE YA TARATIBU na alijua nchimbi hapendi janja janja za wazi wakajidai kumpa surprise ya mgombea mweza ikabidi acheke sana kama mli note.....jk muhuni alishapanga na samia kile kitendo wakijua mbele ya kadamnasi na samia raisi anaangalia kutakuwa hakuna wa kuhoji au kupinga huu ni udikteta na njama mbaya katika kupata uongozi.....na hii ikiendelea hata RIZIWANI ATAKUJA KUPATIKANA KUWA RAISI KWA NAMNA HII HARAMU HARAMU........VIVA POLEPOLE, VIVA GWAJI, VIVA MZEE WA CCM MALISA TOKA KILIMAJARO NA WOTE WENYE HEKIMA NA WAZALENDO WA NCHI HII. Pia kuna baadhi ya maofisa wa majeshi wanatumika vibaya kwa kujipatia miradi ya fedha ya operation ya kupambana na wazalendo au wakosoaji mfano Alex siMURILO mcheza chalanga na polisi AWADHI kutoka zanzibari etcHayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.