Uchambuzi wa press ya kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

Ila JK jau sana, Kwa hiyo tunaenda kwenye mateso ya miaka mitano tena Mungu tuhurumie tumekukosea nini
 
Hii press ndo imedhaniwa imesababisha kumponza "KICHUPI"
 
Kwenye number moja Mama mwenyewe alikiri siku ya ufunguzi wa hema la mwamposa kuwa ana bosi wake.kwahiyo kiongozi anajulikana.
 
kutoka usecretari hadi urais mchezo
Mkuu usibeze au kudunisha elimu ya chini au nafasi ya chini ya mtu. Maana hakuna chuo kinachofundisha urais. Pia shida hapa ni usimamizi, udhubutu, mtazamo na nia ya kuleta mabadiliko.

Nguvu kubwa inayo tumika kukandamiza wa wapinzani na washindani ndani na nje ya chama na serikali ingalitumika kwa asilimia 25% kusimamia katiba, mipango na maendeleo ya raia na nchi tungalipiga hatua kubwa sana!!
 
Indonesha hujui chochote umuhimu wa elimu katika uongozi ,japo uongozi ni inborn
 
Tunaona mwanga sasa baada ya serikali iliyokosa dira. Vitsho.watu kuuliwa.kuteswa.kutekwa sababu raisi mama wa kinzabari asisemeshwe hatakiwi kukosolewa hii kwa mujibu wa wapiga dili za nchi hii kina familia ya msoga, lugumi na mtandao wa nyuma yao kina makonda...wahuni wengi ccm na serikali . Polepole na wengine tuendelee kuhoji uhuni wa wazi wazi unaoendelezwa na Mzee wa msoga mzee ambaye maisha yake ni kinjama njama tu. Hii tabia ya kutupangia viongozi wa nchi kwa hila aliionyesha hata 2015 alipokuja na majina yake matano mfukoni ila kilichotokea kundi lowassa wakapiga chini majina membe.januari.rose migiro . Yule mama amina wa zenji wakampa magufuli ambaye hakuwa mlengwa akasababisha chama kutaka kumeguka usiku ule.....sasa amenogewa na katabia aka hadi siku za mzee wake......anaona ccm ni yake iishi kwenye uhuni wake....ALICHOKIFANYA DODOMA KULETA MAELEKEZO YA KUMPITISHA SAMIA HAIKUWA SAHIHI, ALITUMWA NA NANI NJE YA TARATIBU na alijua nchimbi hapendi janja janja za wazi wakajidai kumpa surprise ya mgombea mweza ikabidi acheke sana kama mli note.....jk muhuni alishapanga na samia kile kitendo wakijua mbele ya kadamnasi na samia raisi anaangalia kutakuwa hakuna wa kuhoji au kupinga huu ni udikteta na njama mbaya katika kupata uongozi.....na hii ikiendelea hata RIZIWANI ATAKUJA KUPATIKANA KUWA RAISI KWA NAMNA HII HARAMU HARAMU........VIVA POLEPOLE, VIVA GWAJI, VIVA MZEE WA CCM MALISA TOKA KILIMAJARO NA WOTE WENYE HEKIMA NA WAZALENDO WA NCHI HII. Pia kuna baadhi ya maofisa wa majeshi wanatumika vibaya kwa kujipatia miradi ya fedha ya operation ya kupambana na wazalendo au wakosoaji mfano Alex siMURILO mcheza chalanga na polisi AWADHI kutoka zanzibari etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…