squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
[emoji119]Kashasha ni Engineer wa Mpira
Sawa anaongeza vionjo ktk soka ila nafikiri upande wa kiufundi mpaka mtangazaji wa tbc amegundua kuwa kiufundi Mwalimu Kashasha yuko vizuri maana kuna siku wote walikuwa studio, baada ya dr. Leakey kuongea mtangazaji akasema sasa tumsikilize Mwalimu Kashasha upande wa ufundi mechi ilikuwaje.kila mmoja ana raha yake pindi utazamapo uchambuzi wao.
kwa liki napenda jinsi anavyo danlodi matirio kichwani yaliyo sheheni historia ya mchezaji mmoja mmoja mpaka club nzima
Nakuunga mkono kabisa.Mwl.kashasha moto wa kuotea mbali kwako, squirtinator.
Inabidi tumpe Taifa Stars sasaKashasha ni Engineer wa Mpira
Ni viingereza vyenye maana bado.kashasha viingereza tu ndo vinambeba ila leakey amejaa materials..kombe la dunia bila leakey upati kabisa radha ya uchambuzi..mwl ye mambo yake ya hiyo inaitwa ACROBATIC RIGHT SHOOTED KICK....KWAKO JESE JOHN
Umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe.Kwanza hongera JF kwa kurudi hewani
Ningependa kujua mtazamo wa watu juu ya wachambuzi hawa wawili wa soka hapa Tanzania.
Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey, Wamekuwa wakichambua soka stesheni ya TBC wakati huu wa kombe la dunia. Kwa kweli Mwalimu Kashasha kwa mtazamo wangu kamuacha mbali sana Dr. Leakey. Licha ya Mwalimu Kashasha kuwa na technical jargons za soka ila anajua kuuchambua mpira kiufundi zaidi
Dr. Leakey sioni akichambua mpira upande wa mbinu za mchezo bali yeye ni masimulizi ya kawaida tu kama ya kupiga stori kijiweni kuhusu soka.
Je wewe wadhani nani ni zaidi?
Nakuunga mkono kabisa.
Yule mzee hatareeekashasha alitabir ton kroos atapigaje ile faulo nlishangaa
Ahsanteni sana kwa kutuletea vionja vya akina Dr. Learky na Mwl Kashasha hapa kutoka TBC maana wengine tushaisahau jinsi ilivyo hiyo TBC......Kwako Archduke"Fox in the box" ananifurahishaga sana hiyo kaule yake, Dr Leaky mpira umemuisha sikuiz hachambui anahadithia
kwako Jesse John
Labda ya pool table, soka ni habari nyingineInabidi tumpe Taifa Stars sasa