Uchambuzi wa Soka: Nani bora zaidi kati ya Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey?

Uchambuzi wa Soka: Nani bora zaidi kati ya Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey?

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,182
Kwanza hongera JF kwa kurudi hewani

Ningependa kujua mtazamo wa watu juu ya wachambuzi hawa wawili wa soka hapa Tanzania.

Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey, Wamekuwa wakichambua soka stesheni ya TBC wakati huu wa kombe la dunia. Kwa kweli Mwalimu Kashasha kwa mtazamo wangu kamuacha mbali sana Dr. Leakey. Licha ya Mwalimu Kashasha kuwa na technical jargons za soka ila anajua kuuchambua mpira kiufundi zaidi

Dr. Leakey sioni akichambua mpira upande wa mbinu za mchezo bali yeye ni masimulizi ya kawaida tu kama ya kupiga stori kijiweni kuhusu soka.

Je wewe wadhani nani ni zaidi?
 
kila mmoja ana raha yake pindi utazamapo uchambuzi wao.

kwa liki napenda jinsi anavyo danlodi matirio kichwani yaliyo sheheni historia ya mchezaji mmoja mmoja mpaka club nzima
Sawa anaongeza vionjo ktk soka ila nafikiri upande wa kiufundi mpaka mtangazaji wa tbc amegundua kuwa kiufundi Mwalimu Kashasha yuko vizuri maana kuna siku wote walikuwa studio, baada ya dr. Leakey kuongea mtangazaji akasema sasa tumsikilize Mwalimu Kashasha upande wa ufundi mechi ilikuwaje.
 
kashasha viingereza tu ndo vinambeba ila leakey amejaa materials..kombe la dunia bila leakey upati kabisa radha ya uchambuzi..mwl ye mambo yake ya hiyo inaitwa ACROBATIC RIGHT SHOOTED KICK....KWAKO JESE JOHN
 
Kwanza hongera JF kwa kurudi hewani

Ningependa kujua mtazamo wa watu juu ya wachambuzi hawa wawili wa soka hapa Tanzania.

Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey, Wamekuwa wakichambua soka stesheni ya TBC wakati huu wa kombe la dunia. Kwa kweli Mwalimu Kashasha kwa mtazamo wangu kamuacha mbali sana Dr. Leakey. Licha ya Mwalimu Kashasha kuwa na technical jargons za soka ila anajua kuuchambua mpira kiufundi zaidi

Dr. Leakey sioni akichambua mpira upande wa mbinu za mchezo bali yeye ni masimulizi ya kawaida tu kama ya kupiga stori kijiweni kuhusu soka.

Je wewe wadhani nani ni zaidi?
Umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe.

Topic closed.
 
Back
Top Bottom