Uchambuzi wa Soka: Nani bora zaidi kati ya Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey?

Dr Leakey amekua mwepesi kwa kuwa vitu vingi anavyosema twavijua na Mwl. Kashasha anajipambanua kama mwalimu mzuri sababu ya uhodari ktk kuchambua kiufundi kitu ambacho wengi hatuna na mara nyingi tunaona mtu ni bora sababu anafundisha tusoyajua. Kwako Jesse Pamparuma
 
Akizungumzia last penalty kick ya Spain
anasema..."yule Russian GK alishow Complex
motor skills, semi acrobatic, alikua airborne
horizontal, eyes on the ball akaweza kuflash
mguu wake na kuutoa mpira"... - atakuwa
MCHAMBUZI gani huyu?
Hahaaaaa...

Tuache unafiki, wanaomwelewa Mwl Kashasha ni wachache mno, tena ni wale waliosomea soka.

Dr. Leakey anatumia lugha nyepesi inayoeleweka kibongobongo na inayoleta ladha kusikiliza.

Wale wa World Cup 1998 watanielewa zaidi.
 
Hahaaaaa...

Tuache unafiki, wanaomwelewa Mwl Kashasha ni wachache mno, tena ni wale waliosomea soka.

Dr. Leakey anatumia lugha nyepesi inayoeleweka kibongobongo na inayoleta ladha kusikiliza.

Wale wa World Cup 1998 watanielewa zaidi.
hahah... kwaiyo lugha ndo inawachanganya...
 
Dr. Leakey hachambui mpira bali anasimulia.
 
Kashasha muongomuongo kwa wasiojua mpira ndio wanamuona anajua lakini maono yake ni ya kawaida tu, Dr anaongelea vitu ambavyo sisi wataalamu wa mpira hatuvioni ktk macho ya kawaida
 
Huyo Kashasha ni muongo na anaongea pumba tu...sijawahi na sitawah kuangalia uchambuzi wa Wa Tz sababu hawajui kitu ni much know tu...nimeona clip whatsapp za Kashasha ni muongo tu hajui mpira....Ndio maana hii nchi hatujui mpira na tukiendelea kusifia na kuendekeza ujinga, tutakuwa washabiki miaka nenda rudi.
 
Kashasha muongomuongo kwa wasiojua mpira ndio wanamuona anajua lakini maono yake ni ya kawaida tu, Dr anaongelea vitu ambavyo sisi wataalamu wa mpira hatuvioni ktk macho ya kawaida
Kashasha mzushizushi tu na terminology zake za kimpira zile watu wanamuona bingwa.
 
Ukitaka kuwa kama Dk Leakey itakuchukua miaka 2 kugoogle historia za wachezaji na team mbalimbali, ukitaka kuwa kama Mwl kashasha na ikiwa ulikimbia physics itakuchukua miaka 2 ya kusoma physics kisha miaka 4 ya kusoma sayansi ya soccer.
[emoji119] [emoji122] [emoji122]
 
Nimewaona leo Kashasha na Dr Leakey wakichambua mpira TBC1 .....
 
Nilichogundua humu wengi wamemjua Dr. Lekey Juzi juzi hapa, wala hawana ufahamu juu yake toka DTV na chambuzi zake ambaye ame inspire au ndio pioner wa segment ya uchambuzi wa mpira katika Tv!

Wanaomuna Mwalimu wangu wa Darasani Kashasha ni mzuri kwa sababu wanamjua kupitia ligi za ndani ya nchi na majuzi juzi kwenye TBC!

Hawa ni watu wawili tofauti. Dr. Lekey anajua si tu historia za timu, mchezaji mmoja mmoja na kuuishi mpira wa miguu kwa kutembelea maeneo na viwanja vingi vya mpira bali pia anakumbukumbu za matukio mengi ya mpira hasa kwa timu za nje ya nchi. Kifupi yeye ni wa KIMATAIFA!

Mwl wangu kabisa Gashasha ni mwalimu wa Physical Education. Anaujua mpira wa vitabuni na ni mbobezi kwa wachezaji na mechi za ndani ya nchi yetu. Kifupi anaujua mpira kwa kusomea na si passion au experiences kama Dr. Lekey!

Ipendeze kusema tu kwamba hawa watu ni hazina ya Taifa katika maswala haya ya ujadilifu wa mechi za mpira wa miguu.
 
Eeh pale tuseme alipiga ball in long sight target lakin ikakosa mayonize iliyopelekea mpira kua in slow motion un archieved plan kiufund ile ni berlin conference iliyoshindwa kugawa vizur pasi btn two prayers
Sasa kwa mtu ambaye lugha hii kwake ni tatizo(maanake hapo kuna mchanganyo wa English na swahili) si anamuacha mweupe huku akikodoa macho asijue kinachozungum'ziwa.

Kwa manufaa ya wengi kama mchambuzi ajikite katika lugha moja aidha kiswahili au English na kama kunamichomekeo basi isiwe mingi yakumfanya mtu ashindwe kumuelewa vyema.


Hili la lugha naona dr Leakey yupo makini sana.
 
kashasha viingereza tu ndo vinambeba ila leakey amejaa materials..kombe la dunia bila leakey upati kabisa radha ya uchambuzi..mwl ye mambo yake ya hiyo inaitwa ACROBATIC RIGHT SHOOTED KICK....KWAKO JESE JOHN
Wewe utakuwa dr leakey mwenyewe...unataka kiki ila kiukweli yule mzee kashasha wewe humuwezi kabisa kwani yule ni mchambuzi wa kiufundi ila ww una story nyingi sijui kazaliwa wapi kakulia wap anapenda kula nn.....baada ya kuchambua ya dk 90 ww unaleta story za miaka 20 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…