Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa...Akizungumzia last penalty kick ya Spain
anasema..."yule Russian GK alishow Complex
motor skills, semi acrobatic, alikua airborne
horizontal, eyes on the ball akaweza kuflash
mguu wake na kuutoa mpira"... - atakuwa
MCHAMBUZI gani huyu?
hahah... kwaiyo lugha ndo inawachanganya...Hahaaaaa...
Tuache unafiki, wanaomwelewa Mwl Kashasha ni wachache mno, tena ni wale waliosomea soka.
Dr. Leakey anatumia lugha nyepesi inayoeleweka kibongobongo na inayoleta ladha kusikiliza.
Wale wa World Cup 1998 watanielewa zaidi.
Kweli kabisa, Kashasha ni mchambuzi wa mechi wakati Leakey ni msimuliaji wa historia!!! Kashasah habari nyingine kabisa. Kwako Jese John...Mwl kashasha anachambua mechi husika na kuonyesha weakness na strength ya kila upande, ila Leakey yy hachambui sana mpira zaidi ya kukupa rekodi na historia tu.
Hahahahahah mkuu..Samahani kuuliza hivi mwl Kashasha ana meno?
Dr. Leakey hachambui mpira bali anasimulia.Leaky Abdalla ndie mchambuzi wa kandanda aliekamilika hapa nchini anaeuchambua mpira kwa lugha adhimu ya kiswahili na aliefasaha kabisa.
Mwalimu kashasha zaidi kajikita kwenye sayansi ya mpira simzuri sana kwenye uchambuzi bali vile vionjo vyake ndio vinavyotia raha nahakika asilimia kubwa ya watanzania hawamwelewi kwenye yale maneno anayotumbukizia.
Leaky anajua historia na records na kuwafahamu wachezaji wengi pamoja na tabia zao nje na ndani ya uwanja tuliomfuatilia tokea kipindi hicho tunaujua ubora wake.
Ukipewa jibu nifahamishe nami.Samahani kuuliza hivi mwl Kashasha ana meno?
Dah...hahahahahahahahahahahaha😀😀😀Kashasha ni muongomuongo, anachambua mpira kama anasolve physics
Kashasha mzushizushi tu na terminology zake za kimpira zile watu wanamuona bingwa.Kashasha muongomuongo kwa wasiojua mpira ndio wanamuona anajua lakini maono yake ni ya kawaida tu, Dr anaongelea vitu ambavyo sisi wataalamu wa mpira hatuvioni ktk macho ya kawaida
[emoji119] [emoji122] [emoji122]Ukitaka kuwa kama Dk Leakey itakuchukua miaka 2 kugoogle historia za wachezaji na team mbalimbali, ukitaka kuwa kama Mwl kashasha na ikiwa ulikimbia physics itakuchukua miaka 2 ya kusoma physics kisha miaka 4 ya kusoma sayansi ya soccer.
Sasa kwa mtu ambaye lugha hii kwake ni tatizo(maanake hapo kuna mchanganyo wa English na swahili) si anamuacha mweupe huku akikodoa macho asijue kinachozungum'ziwa.Eeh pale tuseme alipiga ball in long sight target lakin ikakosa mayonize iliyopelekea mpira kua in slow motion un archieved plan kiufund ile ni berlin conference iliyoshindwa kugawa vizur pasi btn two prayers
Wewe utakuwa dr leakey mwenyewe...unataka kiki ila kiukweli yule mzee kashasha wewe humuwezi kabisa kwani yule ni mchambuzi wa kiufundi ila ww una story nyingi sijui kazaliwa wapi kakulia wap anapenda kula nn.....baada ya kuchambua ya dk 90 ww unaleta story za miaka 20 iliyopitakashasha viingereza tu ndo vinambeba ila leakey amejaa materials..kombe la dunia bila leakey upati kabisa radha ya uchambuzi..mwl ye mambo yake ya hiyo inaitwa ACROBATIC RIGHT SHOOTED KICK....KWAKO JESE JOHN