Robert Heriel mkasa wa huyu kijana na tajiri mbona kaeleza vizuri.
Kwanza amekiri kapoteza hela za tajiri
Pili amekubali kulipa njia ya kulipa ndio hio tajiri kuchukua mali zake na wapige hesabu kilichozidi amrudishie
Anacholalamika ni tajiri kumkwepa inapofikia kupiga hesabu tajiri achukue chake na ampe kilichozidi. Ni kama benki wakipiga mnada nyumba yako kwa kushindwa kulipa deni, wanachukua hela yao inayozidi wanakupa wewe.
Sasa tusibariki ukatili utesaji kisa masikini kachukua hela ya tajiri ndio haki kumtesa hata kuua sio sawa. Kapoteza hela yako mdai chukua chako vingine muachie na maisha yake.