Uchambuzi wa tuhuma za Dhulma za Tajiri Saalah Dhidi ya Eliud

Uliona wapi wauza sembe wanapelekana mahakamani?
 
Tunajua weweni mwandishi mzuri but sio kila kitu unakifanyia uchambuzi

Asa wewe badala ya kumtetea mwafrika mwenzio unamkandia ndio nini???

Achana na hii ligi ni ya wenyewe,
 
Tunajua weweni mwandishi mzuri but sio kila kitu unakifanyia uchambuzi

Asa wewe badala ya kumtetea mwafrika mwenzio unamkandia ndio nini???

Achana na hii ligi ni ya wenyewe,

Siteteahi MTU Kwa sababu ya undugu, udini, ukabila au rangi. Namtetea MTU mwenye uhitaji WA kutetewa, ambaye kaonewa.

Wewe kisa ni muafrika ufanye uhuni na dhulma Kwa wazungu au Waarabu au Wachina alafu utake utetezi WA waafrika kisa ni nduguzo?
Hizo ndio Akili ambazo Maskini wanazo.

Anakufanyia Jambo Baya Kwa sababu anajua huwezi mpeleka Polisi wala Mahakamani kisa ni ndugu yako.

Huoni jamaa muda aliokaa kimya kushirikiana na watu wanaofanya uhalifu sio kosa, lakini kosa ni Kwa vile wahalifu wenzake wamemgeukia?

Haki hainaga Uafrika au uzungu
 
heading uchambuzi wa dhulma tajiri salaah dhidi ya eliud,contect kisa chako na tajiri yako,conclusion hata huo uchambuzi wa salah na eliud hakuna
Tycoon kwa mara ya kwanza umetepeta
 
Nmesoma kisa chako na kujifunza mengi zaidi na zaidi, binafsi huwa sidhulimiki kizembe labda nijue huyu mtu amefeli,

Nilichojifunza zaidi ni namna ya kuandaa mikakati kabla ya kukabiliana na jambo,mimi huwa naongozwa na kichwa changu tu ,yani huo muda huwa sihitaji ushauri wa mtu.nmejifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ameelezea watanzania tulivyo,unataka achambue kisa kwani yeye alikuepo,ila amekupa picha namna watanzania tulivyo
Unafiki wetu
Woga wetu
Kushiriki dhuluma ila ikigeuka unalia

Hivyo akakazia na kisa chake ili ujifunze zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
heading uchambuzi wa dhulma tajiri salaah dhidi ya eliud,contect kisa chako na tajiri yako,conclusion hata huo uchambuzi wa salah na eliud hakuna
Tycoon kwa mara ya kwanza umetepeta

Kisa kimechambua kisa kingine
 
Yah ni kweli
Boss wangu huwa ananikubali sana na mambo ya msingi lazima anishirikishe,ila siku akiwa na mambo 10% anawambia waungwana mimi nisijue. Na wote ameshawahi kuwapiga hela ila mimi hajawahi na kama kuna kazi anataka ifanyike ila hataki kulipa wafanyakazi lakini ofisi kuu imetenga bajeti.mimi haningizi kwakua anajua akipiga hela na mimi nikashtukia patakua hapatoshi

Kuna muda hanipendi ila ananikubali sana,ananiambiaga oxpower mambo hayapo hivyo.mnimi huwa nacheka tu namwambia ila mimi siendi sawa na mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watu wanapenda cha juu alafu wanaona shida kupigwa cha juu. Hiyo ndio shida inapoanzia
 
Hili jina la Robert ni jina la hovyo sana, inaonekana kuna kitu kakipo sawa kiroho kuhusu hili jina. Mimi nikiwaangalia Robert wenzangu hua siwaelewi kabisa ni watu flani hivi wakuda wakuda nikianza na babu ambaye nilipewa hili jina lake.
 
Mimi pia nilimwambia Yeye sio mzalendo kwa kiasi anachotaka kutuaminisha ni maslah yake yamebinywa, kudhulimaina huko sasa akaona aje atafute huruma huku. Ugomvi wa matajiri wote na watu wao wa karibu ni kuzidiana kwenye dili tu hakuna kingine. Uchambuzi mzuri story nzuri. namsubiri Mshana Jr Mzee wa kilingeni naye aje
 
mbona hata hujatoa huo mfanano

Ishu hapo ni dhulma na namna MTU kutafuta na Kupata Haki zake.
Nimeleeza ni Kwa namna gani dhulma ina-exist na namna ya kushughulika nayo,

Sasa kama huoni uhusiano Hilo sio tatizo langu ni wewe na Akili yako
 

Uliona wapi dili haramu kesi zake zikapelekwa polisi au Mahakamani?

Kazi haramu
Njia haramu
Mapato haramu
Ukija kudhulumiwa unasema umedhulumiwa Haki yako, uliona wapi Haki kwenye dhulma?

Hiyo ni Michezo ya kishetani, mchezo wa kulana nyama.
 
Hili jina la Robert ni jina la hovyo sana, inaonekana kuna kitu kakipo sawa kiroho kuhusu hili jina. Mimi nikiwaangalia Robert wenzangu hua siwaelewi kabisa ni watu flani hivi wakuda wakuda nikianza na babu ambaye nilipewa hili jina lake.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Babu yako ndio Mkuda Sisi wengine tupo vizuri.
Sasa kama utakubali kuwa Mkuda ni wewe
 
Ishu hapo ni dhulma na namna MTU kutafuta na Kupata Haki zake.
Nimeleeza ni Kwa namna gani dhulma ina-exist na namna ya kushughulika nayo,

Sasa kama huoni uhusiano Hilo sio tatizo langu ni wewe na Akili yako
sasa mbona kwenye tukio halisi inaonekana salaah ndio kaibiwa hela zake na kijana(pius) amekiri kuiba hizo pesa za bosi akishirikiana na babaake mdogo na ameeleza miradi yake binafsi aliyotekeleza na hizo pesa za wizi.kuna uhusiano gani na kisa chako hapo
 

Hujui kuwa dhulma ni Aina ya wizi?

Alafu ishu ya wizi wa Pius Kwa Eliud haimuhusu Saalah Kwa sababu Saalah hamtambui Pius, anayemtambua ni Eliud.

Hizo habari za wizi alitakiwa ashughulikie Eliud Kwa hiyo kijana wake aliyemuibia.
Sasa unamuweka MTU kwenye mamilioni ya fedha ambaye huwezi kumdhibiti akikufanyia uhuni au Uhalifu huoni kama Saalah ataona mmekula njama na huyo kijana?

Alichofanya Saalah kwenye Michezo hatari na michafu kama hiyo ndivyo inavyotakiwa,
Kaonyesha kuwa nikikupa Pesa ninauwezo wa kuipata kwako kivyovyote.

Kosa la Eliud ni kumuweka kijana ambaye hammudu.
Eliud angetakiwa akampore Mali huyo Pius Kwa kumuibia Pesa zake,
Ili huyo kijana mwizi ndio akalalamike Huko Polisi au Mahakamani.

Motion ya tukio ingeenda hivyo,
Salaah achukue Mali yake Kwa Eliud na Eliud akachukue Mali yake Kwa Pius. Kesi ingekuwa imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…