Uchambuzi wa tuhuma za Dhulma za Tajiri Saalah Dhidi ya Eliud

Fasihi kwenye nafasi yake.

Haichoshi
 
Usiniletee upimbi kwenye masuala ya shilingi jina la msanii nimemsahau.Kuna watu hawana masihara na fedha zao .
Langa Kileo - Ninaposimama, featuring Chid Benzi
 
Reactions: EEX
Heading inasema uchambuzi ila ukisoma kwa makini ni uchambuzi kuhusu wewe binafsi taikuni wa fasihi...
 
Reactions: EEX
Mm sijaona kosa la salaah katika hili,
kwanza alimshauri amuajiri kijana wa mahesabu ili awe anamfanyia hesabu hakufanya hvyo...
Kijana wake alikubali kuwa kwel aliiba pesa na kutumia kwenye ujenzi na kuagiza gari na kamari ,salaa akamwambia yy anataka chake yy atajuana na mfanya kazi wake watamalizana vipi yy pia amshushie kitu kizito mfanya kazi wake ..
Salaa alimkopesha mkopo wa kumiliki duka na walikuwa partiner wazur sana so why asimwambia atamlipa huko mbeleni wakati wanatengeneza faida..au yy si mkinga bwana na wanasifika kwa uchawi basi amroge salah ili asimdai hzo pesa😁
waswahili ukiwaendekeza watakufilisi na baadaye wanakucheka tu...
 
Yaa
Ni mimi hapo si cha kuongeza ulichosema ni sahihi kwa 100%
 

Wabongo tusipobadilika tutazidi kushika Mkia
 
Wewe mzee unapataga wapi muda wa kuandika riwaya kama hii? Hapo umefanya uchambuzi gani sasa zaidi ya kuelezea maswahiba yaliyokupata? Hii ni level ya primary school enzi zile ukiona movie ukifika shuleni unahadithia wenzako movie nzima mwanzo mwisho.
 
Taikon wewe ni mwamba sana napenda aina ya watu wa namna yako wasiopenda dhulma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…