Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salam wakuu
Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine
Turudi kwenye uchambuzi wetu
Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia kipindi kugumu mno kutokana na mechi ilizonazo pale mjini CAF hivyo kwenye ulimwengu wetu ilipaswa Yanga achague kimoja kati ya kushinda derby au kwenda 1/2 fainali .....
Yanga wakachagua kwenda nusu fainali na sio kumpiga kolo .....then ndicho kilichotokea pale tarehe 16 ambapo hata ukicheki evidence zifuatazo
_Yanga hakutumia nguvu nyingi katika gemu tofauti na Simba
,_yanga hawakuwa na wining mentality
_ Simba alichagua kushinda derby Kwa kuwa anajua pale mjini CAF ....mwendo kaumaliza