Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

Salam wakuu

Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine

Turudi kwenye uchambuzi wetu

Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia kipindi kugumu mno kutokana na mechi ilizonazo pale mjini CAF hivyo kwenye ulimwengu wetu ilipaswa Yanga achague kimoja kati ya kushinda derby au kwenda 1/2 fainali .....

Yanga wakachagua kwenda nusu fainali na sio kumpiga kolo .....then ndicho kilichotokea pale tarehe 16 ambapo hata ukicheki evidence zifuatazo

_Yanga hakutumia nguvu nyingi katika gemu tofauti na Simba

,_yanga hawakuwa na wining mentality
_ Simba alichagua kushinda derby Kwa kuwa anajua pale mjini CAF ....mwendo kaumaliza
hapana mie ni yanga ila hatukupanga kufungwa
 
Ilizidiwa uwezo! Hamna team inayopanga kufungwa duniani
 
Back
Top Bottom