Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

Sasa na kolo kasha fika nusu fainali wapi🤔
Inawezekana ulikuwa hujazaliwa Simba walifika nusu fainali ya klabu bingwa ya Afrika mwaka 1974 na kutolewa na Mehala Al Kubra kwa penalti tano tano.Simba ilishinda mechi ya kwanza Dar kwa bao 1 lililofungwa na marehemu Saad Ally na kupoteza mechi ya marudiano kwa goli moja.
 
Soma habari ya kupoteza derby na dhamira za kufika nusu fainali
 
Dhamira ya nusu fainali imekuja baada ya kukandwa kwenye derby?Kukandwa kwenye derby kutawafanya mjitoe kwenye mashindano mengine?Hizo ni gia tu.
 
Inawezekana ulikuwa hujazaliwa Simba walifika nusu fainali ya klabu bingwa ya Afrika mwaka 1974 na kutolewa na Mehala Al Kubra kwa penalti tano tano.Simba ilishinda mechi ya kwanza Dar kwa bao 1 lililofungwa na marehemu Saad Ally na kupoteza mechi ya marudiano kwa goli moja.
1974....hakukuwa na soka mkuu.. labda butua butua
 
Salam wakuu

Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine

Turudi kwenye uchambuzi wetu

Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia kipindi kugumu mno kutokana na mechi ilizonazo pale mjini CAF hivyo kwenye ulimwengu wetu ilipaswa Yanga achague kimoja kati ya kushinda derby au kwenda 1/2 fainali .....

Yanga wakachagua kwenda nusu fainali na sio kumpiga kolo .....then ndicho kilichotokea pale tarehe 16 ambapo hata ukicheki evidence zifuatazo

_Yanga hakutumia nguvu nyingi katika gemu tofauti na Simba

,_yanga hawakuwa na wining mentality
_ Simba alichagua kushinda derby Kwa kuwa anajua pale mjini CAF ....mwendo kaumaliza
Huna medulla mkuu oblangata
 
1974....hakukuwa na soka mkuu.. labda butua butua
Kiwango chako cha ujinga ni cha medali.Ndio enzi za kina Pele,Sunday Manara,Kassim Manara,Willy Mwaijibe,Maulid Dilunga,Omar Mahadhi na King Kibadeni
Tanzania wakati huo ilitoa wachezaji wawili katika timu ya Kombaini ya Afrika.Maulid Dilunga na golikipa Omar Mahadhi.
Unadhihirisha ujinga wako kwenye historia ya mpira wa miguu.Ni wale plastic fans.
 
Mkuu mpira wa saizi umeboreshwa sana ...... that's y huoni hata huyo Simba pale fainali
 
Back
Top Bottom