Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

Nyie mlipigwa bhana, mngekuwa hamuitaki hiyo game wale mastar wenu wasingeingia....halafu pia kale kazee kenu kaprofesa uchwara Kangekuwa hakaitaki mechi kasingeongea lugha 4 kwa mara moja pale maana kalidata kakajua ni mourinho kumbe muhuni robertinho.

Mlizidiwa mkapigwa magoli usijifariji utopolo.
 
Ikitokea napendelea ucheshi wako unapatikana wapi "blooo"?Si wewe na wenzako mliokuwa mkihanikiza kwamba Simba atafungwa kabla ya mechi?Daima mbele "bloo",nyuma ungalipo mwiko![emoji12]
Tulikuwa tunahimiza tu ....Ili kuikamilisha destiny
 
Nyie mlipigwa bhana, mngekuwa hamuitaki hiyo game wale mastar wenu wasingeingia....halafu pia kale kazee kenu kaprofesa uchwara Kangekuwa hakaitaki mechi kasingeongea lugha 4 kwa mara moja pale maana kalidata kakajua ni mourinho kumbe muhuni robertinho.

Mlizidiwa mkapigwa magoli usijifariji utopolo.
Tulichagua option ya kwenda nusu fainali
 
Screenshot_20230417-144504_WhatsApp.jpg
 
Nmetoa fact mkuu.....kama ulicheki Ile mech uliona kabisa mayele + Aziz ki wangetoka na magoli ya kutosha
Sio wewe ulikuwa miongoni mwa waliosema wapigwe ban endapo uto angepoteza derby? leo imekuaje tena unakunywa matapishiyo?
 
Back
Top Bottom