NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Kuna vitu tunavifanya na kuvisema hatutumii akili.Kivipi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu tunavifanya na kuvisema hatutumii akili.Kivipi mkuu
[emoji23][emoji23]View attachment 2593315
Huyo sasa Mwamba hapo ndo hatumii nguvu...anacheza kwa rahaa
Mechi ilikuwa planned mkuuView attachment 2593324
Huyu kweli alikua hatumii nguvu hapa alikua anadaka panzi
Kwani Manara alivyosema pale yanga wapo wawili ulifikiri anachekesha?...hivi kuna ulazima gani kuwaonyesha watu kwamba huna akili
labani og
💩 crapSalam wakuu
Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine
Turudi kwenye uchambuzi wetu
Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia kipindi kugumu mno kutokana na mechi ilizonazo pale mjini CAF hivyo kwenye ulimwengu wetu ilipaswa Yanga achague kimoja kati ya kushinda derby au kwenda 1/2 fainali .....
Yanga wakachagua kwenda nusu fainali na sio kumpiga kolo .....then ndicho kilichotokea pale tarehe 16 ambapo hata ukicheki evidence zifuatazo
_Yanga hakutumia nguvu nyingi katika gemu tofauti na Simba
,_yanga hawakuwa na wining mentality
_ Simba alichagua kushinda derby Kwa kuwa anajua pale mjini CAF ....mwendo kaumaliza
Sasa watajuaje 😂😂😂😂hivi kuna ulazima gani kuwaonyesha watu kwamba huna akili
labani og
Uzi wako unapitwa na wana uto wenzako maana wameona hujielewi 😄 😄 😄Matokeo yalikuwa planned
Zile zile poor capital, poor government support etcMkipigwa robo sababu zitakuwa zipi??
AaaahaaaaaSalam wakuu
Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine
Turudi kwenye uchambuzi wetu
Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia kipindi kugumu mno kutokana na mechi ilizonazo pale mjini CAF hivyo kwenye ulimwengu wetu ilipaswa Yanga achague kimoja kati ya kushinda derby au kwenda 1/2 fainali .....
Yanga wakachagua kwenda nusu fainali na sio kumpiga kolo .....then ndicho kilichotokea pale tarehe 16 ambapo hata ukicheki evidence zifuatazo
_Yanga hakutumia nguvu nyingi katika gemu tofauti na Simba
,_yanga hawakuwa na wining mentality
_ Simba alichagua kushinda derby Kwa kuwa anajua pale mjini CAF ....mwendo kaumaliza
Kama ulichoandika ndio fact na unakiona fact basi mfumo wa elimu unahitaji maboresho makubwaNmetoa fact mkuu.....kama ulicheki Ile mech uliona kabisa mayele + Aziz ki wangetoka na magoli ya kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salam wakuu