Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
hapana tumefungwa kiukweli
 
Ukikandwa kandika
1000027665.jpg
1000027660.jpg
 
Tatizo ni Ali 'Kuzimia' anawadanganya timu Yao ni Bora haiwezi kufungwa na wao Kwa uzuzu wao wanaamini . Hata Man City inafungwa itakuwa majini' FC?.
Ali kamwe ni professional kwenye usemaji
 
Back
Top Bottom