Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

Kumbe kufungwa inauma hivi..hii mada ya ngapi hadi kesho utakua umefungua mada zaidi ya 20 za kujifariji na kuitukana simba. Sababu ni moja tu wew ni.jobless.
Naweza finance ...ukoo wako wote mkuu....
 
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Kwa hiyo mbinu za Yanga zipo kwenye mechi ya Zamu tu?
 
Najua waliofeli ndio wenye akili na waliofaulu ndio wajinga. Hata nyuzi zako huwa unaandika hivyo hivyo kinyume nyume. Ndio uelewa wako unapoishia.
Unaweza faulu...pia hata Kwa Chabo
 
Back
Top Bottom