Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Potezeni na inayofuata ili mpango utimie Sundown wapoteane.

HII NCHI INA MAJUHA WENGI SANA. HATA UKIYAUA HUWA YANAZALIWA KILA SIKU.
 
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Weka ya yanga msimu huu.

Kosoa au beza halafu onyesha ulicho nacho wewe.
 
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Mziki ulikua mzito Uto mkapoteana.

Gamondi hana akili fupi km zako.
 
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Acha kujifariji Sheikh! Jana tulifungwa kihalali kabisa kutokana na upangaji mbovu wa kikosi, na pia kwa kuwadharau wapinzani wetu.
 
1000051367.jpg
 
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana

Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Yaani maneno ya Haji yanazidi kudhihirika.
 
Back
Top Bottom