AahaaaaKwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana
Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Ila huyu kiukweli ukweli hakufeli Kwa sababu ya factor nyingine yoyote, hakuwa na akili na nadhani anaendelea kutokuwa nazo.Kufeli Kuna factors nyingi behind...sio Kwamba huna akili
Huna akili kwa hiyo unawaona mamelodi hawana akili kama wewe!nonsenseKwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana
Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
Comments reservedKwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu za Yanga ..so Yanga hawakua mafala ....wakaamua kuficha mbinu zao zote na kumua kucheza soka butua butua nadhani mliona mpira wa Jana
Pia Yanga wamepoteza mechi Ili kumruhusu mpinzani wa Makolo ( Azam) awasogelee Ili waendelee kusumbuana wenyewe Kwa wenyewe ofcourse mbinu hii ni Kali ....nimeipenda[emoji23][emoji23]
View attachment 2938085
[emoji23][emoji23]Huna akili kwa hiyo unawaona mamelodi hawana akili kama wewe!nonsense
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app